Mtoto akiota meno anaharisha dawa ni nini? Msaada

Kichwa Ngumu

JF-Expert Member
Nov 6, 2010
1,726
312
Hi JF,
Mimi ni baba wa mtoto wa kike anamiezi sita na wiki mbili.

umri aliofikia ni wa kuota meno ila bado hayajaanza kuota lakini anaharisha na inaonekana tumbo huwa linamkata pale anataka kuharisha kwa sababu huwa analia na kuhangaika ila akisha harisha tu anarudi kwenye hali ya kawaida.

nimempleka Hospital wamesema ni kwa sababu anataka kuota meno na ni kawaida wakampa dawa ya kupunguza maumivu, but the medicine does not help her, the situation is the same as before we attend to hospital.
i'm not happy at all your assistance please
 
Hi JF,
Mimi ni baba wa mtoto wa kike anamiezi sita na wiki mbili.
umri aliofikia ni wa kuota meno ila bado hayajaanza kuota lakini anaharisha na inaonekana tumbo huwa linamkata pale anataka kuharisha kwa sababu huwa analia na kuhangaika ila akisha harisha tu anarudi kwenye hali ya kawaida.
nimempleka Hospital wamesema ni kwa sababu anataka kuota meno na ni kawaida wakampa dawa ya kupunguza maumivu, but the medicine does not help her, the situation is the same as before we attend to hospital.

i'm not happy at all your assistance please
pole sana, mimi ni mama naelewa usemalo.

Suala la kuharisha mtoto wakati wa kuota meno huwa inatokea ingawa si watoto wote huwa hivyo, ninachojua mimi kwa uzoefu wangu, mtoto anapoharisha iwe ni kwa kuota meno au vyovyote vile ni lazima apewe dawa stahili yaani ya kuzuia kuharisha na ya kuzuia maumivu, suala la kwamba hapewi dawa kwa vile anataka kuota meno halina msingi wowote japo mimi sio daktari, nilishawahi kumpeleka mtoto wangu kwa mtazamo huo lakini daktari akaniambia mtoto akiharisha anapaswa kupewa dawa.

Anyway, sijui uko mkoa gani lakini nenda tena hospitali nzuri na ikiwezekana muone daktari wa watoto utapata matibabu sahihi kuliko kumuacha mtoto anateseka kwa madai eti anaota meno coz kuharisha si kuzuri mtoto anaweza kuishiwa maji akalegea sana na kuteseka
 
pole sana, mimi ni mama naelewa usemalo. Suala la kuharisha mtoto wakati wa kuota meno huwa inatokea ingawa si watoto wote huwa hivyo, ninachojua mimi kwa uzoefu wangu, mtoto anapoharisha iwe ni kwa kuota meno au vyovyote vile ni lazima apewe dawa stahili yaani ya kuzuia kuharisha na ya kuzuia maumivu, suala la kwamba hapewi dawa kwa vile anataka kuota meno halina msingi wowote japo mimi sio daktari, nilishawahi kumpeleka mtoto wangu kwa mtazamo huo lakini daktari akaniambia mtoto akiharisha anapaswa kupewa dawa, anyway, sijui uko mkoa gani lakini nenda tena hospitali nzuri na ikiwezekana muone daktari wa watoto utapata matibabu sahihi kuliko kumuacha mtoto anateseka kwa madai eti anaota meno coz kuharisha si kuzuri mtoto anaweza kuishiwa maji akalegea sana na kuteseka

Asante sana Aine nitajaribu kwenda Hospital nyingine
 
mtoto anapoota meno fizi huwa zinamuuma au ule muwasho unaokuwa associated na pain.

So kids wengi in response to that wanakuwa wakiingiza vidole mdomoni making vijidudu kuaccess mfumo wa chakula kirahisi resulting into wengi wao kuharisha ukichukulia wengi wao wanakuwa wanatambaa.

About matibab nenda hospitali na muelezee dactari kuhusu tatzo zima.pia cio kila mtoto anayeharisha anapewa antibiotics.wengi hupewa ors na antipains depending on severity na akipewa hapon ghafla,it takes sometime
 
kama alivyoeleza huyo mkuu hapo juu!kids wanakula uchafu thts why wanahara!just mpeleke hospital apate dawa stahili!pole mkuu!
 
hi jf,
mimi ni baba wa mtoto wa kike anamiezi sita na wiki mbili.
Umri aliofikia ni wa kuota meno ila bado hayajaanza kuota lakini anaharisha na inaonekana tumbo huwa linamkata pale anataka kuharisha kwa sababu huwa analia na kuhangaika ila akisha harisha tu anarudi kwenye hali ya kawaida.
Nimempleka hospital wamesema ni kwa sababu anataka kuota meno na ni kawaida wakampa dawa ya kupunguza maumivu, but the medicine does not help her, the situation is the same as before we attend to hospital.
I'm not happy at all your assistance please

kama usingetaja mtoto nilitamani nisikujibu anyaayywaay huyo babu kwenye avator ndie nisietaka kumwona kabisa.

Sasa basi usimpedawa yoyote nami nimetoka juzi kwa dk amssawe nikapewa panadol tena baada yakulazimisha jana akaharisha nikaenda kwa dk mmoja aghakan wakampa dawa ya maji ya panadol na kuomba tumsaidie kumpa maji as much as possible

To be strong wanaitaji meno usiogope kama niuzazi wa kwanza uzoee ndio anatafuta mdogo wake hivyo chezesha kiuono
 
kama usingetaja mtoto nilitamani nisikujibu anyaayywaay huyo babu kwenye avator ndie nisietaka kumwona kabisa..sasa basi usimpedawa yoyote nami nimetoka juzi kwa dk amssawe nikapewa panadol tena baada yakulazimisha jana akaharisha nikaenda kwa dk mmoja aghakan wakampa dawa ya maji ya panadol na kuomba tumsaidie kumpa maji as much as possible <br />
to be strong wanaitaji meno usiogope kama niuzazi wa kwanza uzoee ndio anatafuta mdogo wake hivyo chezesha kiuono
<br />
<br />
mtaua watoto kwa kutokuwa na imani na docs wenu!
 
Kitaalamu kabisa meno hayasababishi kuharisha mtoto, uchafu ndio unaosababisha matibabu ya kuharisha kwa mtoto yamegawanyika katika sehemu kuu tatu plan a kwa mtoto ambaye hana upungufu kabisa wa maji lakini anaharisha huyu hupewa tu ors na maji na kuruhusiwa kwenda nyumbani.

Plan b mwenye upungufu wa wastani wa maji na kuharisha huyu naye hupewa tu ors na maji lakini hubakia hospitali kwa muda iliwataalamu wamuangalie maendeleo yake,plan c huyu mtoto ni mtoto mwenye upungufu mkubwa wa maji na kuharisha mtoto huyu huwa hawezi kabisa hata kunyonya au kunywa chochote,ngozi yake hasa ya tumbo hulegea kabisa,wakati mwingine hupoteza fahamu.macho huwa yamedumbukia ndani mtoto huyu huwekewa drip za maji ilikulejea kwenye hali yake ya kawaida

Aina nyingine ya kuharisha ni ile ya kuharisha damu(dysentery) hii sasa ndio mtoto hupewa dawa (antbiotic) kutegemea na aina ya wadudu na nakumrudishia maji kulingana na plan yake kama nilivyoeleza hapo juu.
Hizi ndio aina za kuharisha za muda mfupi(acute diarrhoea) sizizo zidi siku 14.
 
Back
Top Bottom