Mtoto akilea Mtoto Mwenzake | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mtoto akilea Mtoto Mwenzake

Discussion in 'Jamii Photos' started by Masanilo, Oct 22, 2009.

 1. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #1
  Oct 22, 2009
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  [​IMG]

  Hii picha imenipa tafakuri kubwa sana....mtoto akilea mtoto Mwenzake, upendo wa hali ya juu

  Kwa hisani ya MichuziJr
   
 2. Next Level

  Next Level JF-Expert Member

  #2
  Oct 22, 2009
  Joined: Nov 17, 2008
  Messages: 3,159
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Masa .....hizi bush mbona normal mkuu? Mwenyewe enzi hizo nilifanya....hapo unapewa viazi vitamu au makande umtafunie dogo then umlishe.......! acha bana, nusu unameza, nusu unampa dogo......ilikuwa dili sana kumbeba dogo kihivo, kulikuwa na opportunity nyingi....moja wapo kutega kazi nyingine, kula, kuzurura.....!
   
 3. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #3
  Oct 22, 2009
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Nakubaliana na wewe ila huyo ni mdogo sana kubebeshwa mtoto mgongoni....jamaa wa haki za watoto na child labor wanaweza komaa na wazazi!
   
 4. Next Level

  Next Level JF-Expert Member

  #4
  Oct 22, 2009
  Joined: Nov 17, 2008
  Messages: 3,159
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Masa nakwambia mi nilikuwa nabebeshwa midogo, nilikuwa nalia saa zingine the whole day na bega, maza tena anakuja nishushia kipondo.......! mzee kuanzia four years up.....bush unaanza kushughulishwa kihivyo.....!
   
 5. Masaki

  Masaki JF-Expert Member

  #5
  Oct 22, 2009
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 3,465
  Likes Received: 163
  Trophy Points: 160
  To be honest, hii picha inasikitisha na inatoa ujumbe mkubwa sana kuhusu jamii tunamoishi!! Ukimwangalia mtoto aliyebebwa ana afya njema, ni msafi na amevaa viatu, kwa hiyo hawa sio masikini wa kupindukia.

  Ila mtoto aliyembeba anaonekana mchafu na asiye na matumaini katika maisha. Sura yake inaelezea masaibu mengi aliyonayo katika maisha.

  Nikifikiria kwa haraka haraka ni kwamba mtoto huyu aliyembeba mwenzake atakuwa analelewa na mama wa kambo, ama ni yatima aliyekosa mwelekeo wa maisha na kuambulia kupewa ajira ya watoto. Usishangae kwa Tanzania kwamba mtoto huyo aliyembeba mwenzake akawa ni ''housegirl'' wa mtu anayefanya kazi ofisini na amesoma shule kabisa !
   
 6. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #6
  Oct 22, 2009
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Kazi kweli kweli....tumetoka mbali kumbe!
   
 7. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #7
  Oct 22, 2009
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Du!This is too much for one person to watch!Hali ya maisha ndo inalazimisha mama mwenye mtoto apange ratiba hizi kwa mtoto huyu...! Hii hali ni ya kweli kabisa, na tulio wengi tumekulia vijijini tukaiona live!...Too bad,...ooohh! imenisikitisha na kunikumbusha mbali!
   
 8. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #8
  Oct 22, 2009
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Nakubaliana na wewe, inawezekana kabisa hako katoto kameajiliwa kulea huyo mtoto kwa malipo duni.
   
 9. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #9
  Oct 22, 2009
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 543
  Trophy Points: 280
  hee huyo mtoto mbona ni mdogo sana harafu aliyebebwa anaonekana ni mzito na mwenye afya tele
   
 10. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #10
  Oct 22, 2009
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 543
  Trophy Points: 280
   
 11. Next Level

  Next Level JF-Expert Member

  #11
  Oct 22, 2009
  Joined: Nov 17, 2008
  Messages: 3,159
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  We acha tu mkuu.........! Ngoja nikija enda bush one day, tafanya upaparazi na kuwaletea mapicha zaidi....uone vitoto vya dizaini hiyo vinapiga jembe na kupangiwa miraba kama vijitu vizima.......! We acha tu...ila wale waliozaliwa na kukulia town, they will never understand and accept this!
   
 12. W

  Wandugu Masanja JF-Expert Member

  #12
  Oct 22, 2009
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 1,535
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  kusoma sio lazima uve tai, kusoma ni kufanya ubongo ufanye kazi kurahisisha pale palipo pagumu au kusahihisha pale palipokosewa, ikiwa wewe ulilelewa kama hivyo na bado unatetea malezi hayo bora urudi tena shule ya vidudu ukasome tena au mwalimu alikupelekesha, hivi mpaka lini tutakaa na kuendeleza mila hizi?
  Huyo dogo naona amepewa mtoto kulea na mama yake ambae ni housegirl, sasa mama anendelea na kazi na dogo anapiga mzigo, kwa haraka mama amepata msaada inasikitisha kweli hivi Tanzania mpaka lini viongozi wetu watakuwa na akili za uongozi? bado wanaona wao ni wanyapara tu na sisi makabwela wa kupokea amri? kwa kweli nina hasira kweli
   
 13. ChaMtuMavi

  ChaMtuMavi JF-Expert Member

  #13
  Oct 22, 2009
  Joined: Oct 15, 2008
  Messages: 333
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Haki ya mtoto ipo wapi, anatakiwa aende shule huyu mtoto, na acheze, lakini tayari ameshapewa responsibilities. EE Mungu mwokoe mtoto wa kike wa Kitanzania na Africa.
   
 14. Pretty

  Pretty JF-Expert Member

  #14
  Oct 22, 2009
  Joined: Mar 19, 2009
  Messages: 2,582
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 135
  Huu ni unyanyasaji kabisaaaaaaaa!! Mtoto aliyombeba mtoto mwenzake naye bado alikuwa anahitaji malezi. Umaskini mbaya jamani mhhhhhhhhhh!!!!!!!!!!!
   
 15. Naumia

  Naumia Member

  #15
  Oct 22, 2009
  Joined: Jan 30, 2009
  Messages: 78
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 13
  I hate to think that's the case BUT you may be right. Mungu atusamehe…yaani picha hii inaumiza sana roho. Alafu utasikia ‘life is fair' how????
   
 16. k

  kabwa Member

  #16
  Oct 23, 2009
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 23
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  NL umenikumbusha mbali kweli,wenyewe kule kwetu tunasema umwana lulilo
   
 17. Kilbark

  Kilbark JF-Expert Member

  #17
  Oct 23, 2009
  Joined: Feb 25, 2008
  Messages: 558
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Inasikitisha lakini ndio mazingira yenyewe haya. Umeshajiuliza kuhusu wale ambao unawaona wamezagaa barabarani wakiomba na viongozi wa serikali pamoja na maafisa ustawi wa jamii wanapita kama hawawajui! Mpaka fulani aseme. Au utasikia , sasa hivi hatuna fungu.Mpaka serikali itoe fungu. Yaani its a shame. Halafu hao unaowaona wanaranda randa barabarani wako more exposed na magonjwa, kubakwa, madawa ya kulevya na uhalifu. Ukifanya utafiti utagundua kuwa kila mtoto ana experiense ya kunyanyaswa kijinsia. Awe wa kike au wa kiume. Wao na watoto wao wamekaa tu na kuangalia. Sasa hapa alaumiwe nani. Aliyezaa na kutelekeza? Au Serikali iliyoshindwa kujenga mazingira endelevu katika ule msemo wetu ule wa "Maisha bora kwa kila Mtanzania"
   
 18. Kisoda2

  Kisoda2 JF-Expert Member

  #18
  Oct 23, 2009
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 1,242
  Likes Received: 137
  Trophy Points: 160
  Mweee!!
   
 19. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #19
  Oct 23, 2009
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  Inaumiza kweli kweli, aliyebeba hana hata viatu, na inaonekana kuwa hajakula chakula. Bila shaka, Mama wa mtoto aliyebebwa yupo akiangalia mwanawe kwa mbali.

   
 20. Amoeba

  Amoeba JF-Expert Member

  #20
  Oct 23, 2009
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 3,328
  Likes Received: 95
  Trophy Points: 0
  yeyooo, hapo full kulamba pp tuuu! Ebana umenikumbusha enzi mzee, uji unampozea haf, haf unakunywa mwenyewe! Kudadadeeki!
   
Loading...