Wanasaikolojia wana msemo kuwa mtoto umleavyo ndivyo akuavyo. Kwa maana kwamba mtoto hujifunza vitu na tabia zilizopo ktk mazingira yanayomzunguka.
Mtoto anapokuwa anachunga ng'ombe hutoa makalipio kwa ng'ombe muda wote. Muda wote ana foka na kuwafokea ng'ombe. Mbinu za kiungozi anazojifunza mtoto huyu ni kufoka/kukalipia.
Na kwakuwa anafokea ng'ombe pasipo kushauriana mtu basi hujifunza kutopokea ama kukubali ushauri.
Mtoto akiwa mkubwa atakuwa na elements za udikiteta. Kwa maana kwamba akija kupata uongozi atakuwa mtoa amri na wa kufoka foka kama alivyokuwa akichunga ng'ombe.
Lakini pia atakuwa hapokei ushauri toka kwa mtu yeyote.
Nina ndgu yangu alichunga kwa miaka mingi basi mpaka kichwa hukigeuza kushoto na kulia kama afanyavyo ng'ombe.