Mtoto aishi na mama yake mzazi kinyumba miaka 10

inaezekana ni maendeleo tunayokimbiza babu DC

Kweli Chauro??

Kama ni mambo ya ulozi naweza kuelewa kwani ni mambo mbayo huwa nayasikia na sijawahi kuwa na hamu nayo!

Ila kweli Mama yako anakuvutia hadi unatia timu?? Na wewe mama unakufa na kuoza kwa mwanao??

Ngoja nisubiri wazazi waje watupe busara zao!!

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:

Babu DC simple ni imani za kishirikina hapo ndizo zilizoplay mpaka kuwatoa katika ubinadamu na kuwaingiza katika uhayawani kama huo na si lingine.

Huwezi kuwa na mapenzi na mama yako mzazi tena for 10yrs consecutive.
 
Kama ni hayo Mzee wa Rula, basi hata mie naweza kuwasamehe kama watu wengi walivyosema kwenye ile makala.

Vinginevyo, akili yangu haipigi picha kama kweli naweza kuwasamehe kwa ukichaa huo...

Hata hivyo kuishi kwingi ni kuona mengi..waliotangulia huko makao ya milele, kuna maengi hawatakaa watuamini tukianza kuwasimulia.

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
Msomi Sigmund Freud aliyaona haya. Katika ukuaji wa mtoto hufika kipindi akawa na matamanio ya kingono na mzazi wa opposite sex. Yaani kuna wakati mtoto wa kiume kwa mfano, ataanza kuona kama babake anafaidi na kumtamani mama yake kingono. Hali kadhalika mtoto wa kike ataonesha mapenzi zaidi kwa baba, yote hii ikiwa ni katika kutaka kufaidi zaidi.
 
Sawa mtu anapofika umri flan anakuwa na matamanio na opposite sex....ila kati ya watu wooootw wanao exist duniani,ndo ukamtaman mzazi wako kweli..mmmh..hapo ni ushirikina tu hivi hivi haijii wala haingii akilini jaman.
 
dah!!! Shangazi yangu Joyce Joliga. Long time no see...!!! Kumbe siku hizi umehamia mwananchi kutoka kwenye magazeti ya udaku.
 
Msomi Sigmund Freud aliyaona haya. Katika ukuaji wa mtoto hufika kipindi akawa na matamanio ya kingono na mzazi wa opposite sex. Yaani kuna wakati mtoto wa kiume kwa mfano, ataanza kuona kama babake anafaidi na kumtamani mama yake kingono. Hali kadhalika mtoto wa kike ataonesha mapenzi zaidi kwa baba, yote hii ikiwa ni katika kutaka kufaidi zaidi.

Theory ya Freud katika ukuaji wa watoto kisaikolojia, wanaita 'Oedipus complex' kwa watoto wa kiume na/au 'electra complex' (hii iliendelezwa na mwanasaikolojia mwingine) kwa watoto wa kike wanapotaman kuwa na baba zao!
Na inakua katika umri mdogo nadhan ni miaka 6 kama sijakosea. Na baada ya umri huo anaanza kujitambua na hivyo kuanza kujitenga na fikra hizo.
Huyu jamaa alikua mtu mzima tayari kwa hiyo hatuwezi kuifananisha na tafsiri halisi aliyoielezea Freud.
 
Asante kwa ufafanuzi mkuu.

Theory ya Freud wanaita 'Oedipus complex' kwa watoto wa kiume na/au 'electra complex' kwa watoto wa kike wanapotaman kuwa na baba zao!Na inakua katika umri mdogo nadhan ni miaka 6 kama sijakosea. Na baada ya umri huo anaanza kujitambua na hivyo kuanza kujitenga na fikra hizo.Huyu jamaa alikua mtu mzima tayari kwa hiyo hatuwezi kuifananisha na tafsiri halisi aliyoielezea Freud.

Vipi akishindwa kujitenga nayo? Na vipi kuhusu mama kwa mwanawe na baba kwa bintiye? Kuna any scientific/psychological explaination?

Kuna rumors baadhi ya makabila (wachaga kwa mfano) baba anahusiana na bintiye. Kwa case kama hizo ni nguvu ya binti (tukisssume alishindwa kuthibiti hisia zake) ndio inamfanya baba akubali?

Watoto wa kiume hata wakikua wanabaki na mapenzi yenye huruma kwa mama zao, l can imagine hiyo scenerio ya mama kufiwa, mtoto kukaa na mama na si ajabu the son hakuweza thibiti hiyo 'what do u call it'; lkn mama kukubali lazima kuna kitu pia. Tena nimekumbuka huenda hicho kitu ndicho kinachowafanya mama wakwe wengi wasipatane na wake wa watoto wao wa kiume!

Au la, let's dump this kwenye kapu la Shetani! It is an easy n sensible explaination if you believe in super natural power!
 
Ni mambo ya ushirikina au kuendekeza mambo ya vilabuni katika pombe za kienyeji. Si ajabu wote ni wapiga mataputapu wazuri.
 
umenena mkuu hao watu inawezekana walikuwa wapiga matapu tapu na wana imani za kishirikina......
 
Kuna kijana mmoja kijijini kwetu hivi tunavyoongea anaishi kinyumba na shangazi yake kwa zaidi ya mwaka sasa. Wazee wamepiga kelele imeshindikana..! Hakuna ushirikina wala nini.
 
Dark City kwangu nautafsiri uhusiano huu kama uchafu m-baya wa kimahusiano uliopitiliza na nalazimika kutokuamini kama hawa mama na mwana ni wazima na si wagonjwa wa akili, na kama si hivyo inawezekana wana mapepo au nguvu fulani za giza zilizowatumbukiza kufanya mambo ya kichafu namna hii. Mambo haya hayakubaliki kabisa katika jamii yetu ya kitanzania hata kidogo na yumkini ndo yanayotuletea mikosi, umaskini na ujinga na kuifanya nchi isiendelee. Tunatakiwa kuyakataa kwa nguvu zote.
 
Last edited by a moderator:
Msomi Sigmund Freud aliyaona haya. Katika ukuaji wa mtoto hufika kipindi akawa na matamanio ya kingono na mzazi wa opposite sex. Yaani kuna wakati mtoto wa kiume kwa mfano, ataanza kuona kama babake anafaidi na kumtamani mama yake kingono. Hali kadhalika mtoto wa kike ataonesha mapenzi zaidi kwa baba, yote hii ikiwa ni katika kutaka kufaidi zaidi.
Naomba reference kama hutajali.
 
Sawa mtu anapofika umri flan anakuwa na matamanio na opposite sex....ila kati ya watu wooootw wanao exist duniani,ndo ukamtaman mzazi wako kweli..mmmh..hapo ni ushirikina tu hivi hivi haijii wala haingii akilini jaman.
Hata mie nashindwa kuelewa.
 
Theory ya Freud katika ukuaji wa watoto kisaikolojia, wanaita 'Oedipus complex' kwa watoto wa kiume na/au 'electra complex' (hii iliendelezwa na mwanasaikolojia mwingine) kwa watoto wa kike wanapotaman kuwa na baba zao!Na inakua katika umri mdogo nadhan ni miaka 6 kama sijakosea. Na baada ya umri huo anaanza kujitambua na hivyo kuanza kujitenga na fikra hizo.Huyu jamaa alikua mtu mzima tayari kwa hiyo hatuwezi kuifananisha na tafsiri halisi aliyoielezea Freud.
Hapa sasa umeongea kama gulus! Inakuwa unfair kwa watu wa taaluma nyingine kuwamiminia mitheory bila kuweka caveats zake!!
 
Msomi Sigmund Freud aliyaona haya. Katika ukuaji wa mtoto hufika kipindi akawa na matamanio ya kingono na mzazi wa opposite sex. Yaani kuna wakati mtoto wa kiume kwa mfano, ataanza kuona kama babake anafaidi na kumtamani mama yake kingono. Hali kadhalika mtoto wa kike ataonesha mapenzi zaidi kwa baba, yote hii ikiwa ni katika kutaka kufaidi zaidi.

Oedipus complex
 
Vipi akishindwa kujitenga nayo? Na vipi kuhusu mama kwa mwanawe na baba kwa bintiye? Kuna any scientific/psychological explaination?Kuna rumors baadhi ya makabila (wachaga kwa mfano) baba anahusiana na bintiye. Kwa case kama hizo ni nguvu ya binti (tukisssume alishindwa kuthibiti hisia zake) ndio inamfanya baba akubali?Watoto wa kiume hata wakikua wanabaki na mapenzi yenye huruma kwa mama zao, l can imagine hiyo scenerio ya mama kufiwa, mtoto kukaa na mama na si ajabu the son hakuweza thibiti hiyo 'what do u call it'; lkn mama kukubali lazima kuna kitu pia. Tena nimekumbuka huenda hicho kitu ndicho kinachowafanya mama wakwe wengi wasipatane na wake wa watoto wao wa kiume!Au la, let's dump this kwenye kapu la Shetani! It is an easy n sensible explaination if you believe in super natural power!
Kweli mdogo wangu. Kuna hisia kali za upendo kati ya mama na watoto wake wa kiume ila siyo katika level ya kuchojeleana nguo. Bila kuingiza extra power kama ushirikina, inakuwa vigumu sana kuamini kama kweli tukio kama hilo limetokea na kuwahusisha binadamu 2 kwa hiari yao.
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom