Mtoto aishi na mama yake mzazi kinyumba miaka 10 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mtoto aishi na mama yake mzazi kinyumba miaka 10

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Fidel80, Aug 29, 2012.

 1. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #1
  Aug 29, 2012
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,982
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 145
  [​IMG]
  Joseph Mapunda mwenye umuri wa miaka 40 amesema ameweza kuishi kindoa na Mama yake Mzazi Condorada Ngonyani 70 baada ya yeye kukubaliana wenyewe yeye na mama yake mzazi kuishi kindoa kama mume na mke alipo ulizwa Mama alikiri kuwa kweli wameishi kindoa kwa miaka 10 na anampenda Mume wake ambaye ni Mtoto wake Joseph Mapunda.
  Na Godso Kileo
  Source; Mjengwa Blog::Habari,Picha,Matangazo
   
 2. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #2
  Aug 29, 2012
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,141
  Likes Received: 238
  Trophy Points: 160
  Makubwa haya kha!!!!!
   
 3. kilimasera

  kilimasera JF-Expert Member

  #3
  Aug 29, 2012
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 3,072
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  khaaaaaaaaaaah!!!!wangoni hawa nyumbi hii bombi hiii.................
   
 4. Mahmetkid

  Mahmetkid JF-Expert Member

  #4
  Aug 29, 2012
  Joined: Apr 20, 2012
  Messages: 551
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 45
  Shiiiiiiiiiiiiiiiirt!!!!!!!! This is toooooooooooooooooo much to handleeeeee.
   
 5. snowhite

  snowhite JF-Expert Member

  #5
  Aug 29, 2012
  Joined: Aug 2, 2012
  Messages: 13,506
  Likes Received: 936
  Trophy Points: 280
  hawa sio wangoni wa kusini bali ni WAGONI WA KUZINI!
   
 6. S

  Starn JF-Expert Member

  #6
  Aug 29, 2012
  Joined: Oct 10, 2011
  Messages: 400
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  maweeee, hei
   
 7. BHULULU

  BHULULU JF-Expert Member

  #7
  Aug 29, 2012
  Joined: Jun 28, 2012
  Messages: 4,884
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 145
  kweli mkuu,wanastahili hapo kwenye red
   
 8. Wambugani

  Wambugani JF-Expert Member

  #8
  Aug 29, 2012
  Joined: Dec 8, 2007
  Messages: 1,750
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Hiyo dhambi siyo kwa watu kusini tu. Kwa kweli imezuka katika sehemu nyingi hapa Tanzania kwa kina mama kuishi kindoa na watoto wao wa kuzaliwa. Mwenyezi Mungu atuepushe na baa hilo.
   
 9. farkhina

  farkhina Platinum Member

  #9
  Aug 29, 2012
  Joined: Mar 14, 2012
  Messages: 12,712
  Likes Received: 635
  Trophy Points: 280
  Halafu tunalalamika maisha magumu..laana kama hizi mungu hata milango ya riski anaifunga
   
 10. Uliza_Bei

  Uliza_Bei JF-Expert Member

  #10
  Aug 29, 2012
  Joined: Feb 17, 2011
  Messages: 2,989
  Likes Received: 280
  Trophy Points: 180
  Kulingana na Biblia hawakufanya vyema......
   
 11. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #11
  Aug 29, 2012
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,248
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  -Buffering-
   
 12. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #12
  Aug 29, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,490
  Likes Received: 133
  Trophy Points: 160
  Jamaa kaamua arudi alikotoka!!, kweli NYUMBANI NI NYUMBANI
   
 13. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #13
  Aug 29, 2012
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 27,495
  Likes Received: 1,310
  Trophy Points: 280
  Ngoja ninyamaze . . . . . . . .
   
 14. Ukwaju

  Ukwaju JF Bronze Member

  #14
  Aug 29, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 7,922
  Likes Received: 498
  Trophy Points: 180
  Kweli ni Wangoni maana nasikia bora umpe PESA atafikisha lakini si mkeo, sijasikia Mikoa mingine wana tamaa za kimwili namna hii, hebu waangalie mama namtoto wapi na wapi hata hailipi wala kusimama
   
 15. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #15
  Aug 29, 2012
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,141
  Likes Received: 238
  Trophy Points: 160
  Hii imenizidi umri kwakweli lohhhhhh
   
 16. Watu8

  Watu8 JF-Expert Member

  #16
  Aug 29, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 45,970
  Likes Received: 600
  Trophy Points: 280
  duh! jamaa lina roho ngumu...sasa sijui nani aliyemtongoza mwenzie, naona wametumia maneno ya kidiplomasia eti "walikubaliana"...khaaa!!
   
 17. Anselm

  Anselm JF-Expert Member

  #17
  Aug 29, 2012
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 1,689
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  What???
   
 18. Elungata

  Elungata JF-Expert Member

  #18
  Aug 29, 2012
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 25,986
  Likes Received: 5,922
  Trophy Points: 280
  Hawa si ndo tunaambiwa ni wasomi?au.
   
 19. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #19
  Aug 29, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 29,258
  Likes Received: 4,242
  Trophy Points: 280
  khaaaa, sijui nimuchu tamaa au maadili mabovu
   
 20. Power G

  Power G JF-Expert Member

  #20
  Aug 29, 2012
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 3,878
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Kwa mwendo huu, maafa na magonjwa ya kutisha hayatakwisha duniani maana Mungu anaonyesha hasira zake kwa mwanadamu kutokana na matendo machafu kama haya.
   
Loading...