Mtori una asili ya wapi?

Mtori asili yake ni chakula cha kabila la wachaga. Hiki chakula ni maalum (kilikuwa maalum kuwa sahihi zaidi) kwa kinamama waliojifungua. Miezi mitatu baada ya kujifungua ndicho kilikuwa chakula chao kikuu (pamoja na kingine cha aina ya mtori, lakini badala ya nyama na supu kinachanganywa na maziwa ya ng'ombe ya mgando). Siku hizi mtori umeenea sehemu nyingi na umekuwa unauzwa kama kifungua kinywa.
Chezea chagas wewe
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom