Mtoa huduma ya dawa kwenye Pharmacy anahitajika

kanyagio

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2009
Messages
986
Likes
45
Points
45

kanyagio

JF-Expert Member
Joined Dec 10, 2009
986 45 45
CareP Retail pharmacy ipo Tegeta, Dar tunatafuta mtoa huduma ya kusikiliza na kuhudumia wateja ikiwemo kutoa dawa kulingana na mahitaji ya mgonjwa/mteja (kulingana miongozo ya utoaji sahihi ya dawa).

Vigezo na sifa:
Uwe umesomea angalau muuguzi msaidizi, mtoa dawa msaidizi, pharmaceutical assistant n.k.
Aidha ni vema ukawa umeshafanya kazi kwenye pharmacy au duka la dawa muhimu.

Kama unakaa uelekeo wa tegeta, boko, bunju, mbezi, wazo, salasala au bahari beach itakuwa nzuri zaidi.

Unaweza kutuma maombi kwa email nat867@gmail.com au wasiliana kwa namba 0659670486 au PM.

Please share!!!
 

Forum statistics

Threads 1,203,564
Members 456,824
Posts 28,118,974