Mtizamo juu ya Tatoo

Hayo ni mawazo yako tu mkuu. Tattoo ni kama urembo na nikiona mtu kachora nafurahi sana.
Tatizo mi siwezi kuchora ila ningekua na ubavu ningeshachoraga
Any ways unamchukuliaje kwa mfano mtu anapokua na tatoo na akawa ndio kiongozi wako wa dini??
 
Imenichukua almost 3 years kufikiria uamuzi wa kwenda kuchora tattoo and finally soon naenda kuchora tattoo yangu ya kwanza bila wasiwasi wowote.

Wabongo wanafiki sanaaaaa, unaogopa dhambi ya tattoo huku ukifurahia dhambi ya zinaa, pombe, unafiki na usengenyaji.
 
Kujichora tattoo ni moja wapo ya ibada za kishetani...kwahiyo anayejichora chora na kujichanja chale ni mfuasi rasmi wa shetani.
Mungu wangu nina chale hadi kwenye nanilii yangu ila nilichanjwa nikiwa mdogo sana so nimekuwa nimezikuta je nipo kundi gani mkuu?
 
Wakuu salaam,

Wacha niende moja kwa moja katika mada Tajwa hapo juu. Nimekua na mtizmo tofauti kidogo ambao nimejaribu kuchukua hatua kidogo kuufanyia utafiti, na nimekuja kuona kama kuna ukweli fulani.

Wanawake walio jichora tatoo wengi wao wana hulka za kuwa cheap yani haupati shida uki muhitaji. yani kwa sasa nimefikia hatua naona demu akiwa na tatoo niki muhitaji wakati wowote naweza mpata bila shida.

Wakuu naomba maoni yenu kama mtizamo wangu huu uko sawa au mwaonaje.
Sio wote.
 
Back
Top Bottom