Mtizamo juu ya Tatoo

Ubuntuwize

JF-Expert Member
Jan 23, 2014
312
91
Wakuu salaam,

Wacha niende moja kwa moja katika mada Tajwa hapo juu. Nimekua na mtizmo tofauti kidogo ambao nimejaribu kuchukua hatua kidogo kuufanyia utafiti, na nimekuja kuona kama kuna ukweli fulani.

Wanawake walio jichora tatoo wengi wao wana hulka za kuwa cheap yani haupati shida uki muhitaji. yani kwa sasa nimefikia hatua naona demu akiwa na tatoo niki muhitaji wakati wowote naweza mpata bila shida.

Wakuu naomba maoni yenu kama mtizamo wangu huu uko sawa au mwaonaje.
 
MAMBO YA WALAWI 19:27-18.
William%20Masisi2%2020190304_151435.jpeg
 
Ayo ni mawazo yenu na kila mtu ana mtazamo wake..binafsi nimeshabook kuchora tatoo ya sura ya mama angu next week sababu sina picha yake kwenye cm angu ila kwenye album zipo lakini naona hazitadumu na napenda niwe na kitu mda ote ambacho nikikiona ni kama namuenz mama angu RIP...kaburi lake nimeshindwa kulifanya imara mana sina ela na ndugu baada ya kuzika wapo bze na mambo yao sasa ntamuenz vpiii na sitaki ibada za makaburini mimi kila mwaka..najua ni dhambi ila sura ya mama angu lazma ikae kwenye mwili wangu.
 
tatizo mnaishi miaka ya 1901 tattoo ni kumbukumbu unachora kwa sababu maalum pia tattoo ni urembo
 
Back
Top Bottom