Mtiririko wa Maisha ya kijana wa kiume wa kitanzania

Bado mdogo wake ama Kaka yake na babako anawaza mjengo huo huo hamchelewi kuanza kulogana
 
Bado mdogo wake ama Kaka yake na babako anawaza mjengo huo huo hamchelewi kuanza kulogana
Kama mtapaendeleza na mkaamua kuishi kama familia hakuna atakaewaza kulogana ila kama utapaacha na kuwaza kupamiliki lazima hayo yatokee
 
Pole sana...

Ni bora zaidi ukijenga mji wako... Vya wazazi wako waachie wenyewe...


Cc: mahondaw
Kujenga mji mpya kuna maana gani wakati una mji tayari kutoka kwa baba ni kuuendeleza pale alipoishia ili uzidi kuwa wa kisasa,

Unaacha mji uliokukuza ukichakaa kisa kutamani kujenga mji wako ambao ata pesa yenyewe unayotumia ni ya mkopo.
 
Na kina sisi ambao wazazi wetu hawakujenga tutaishi wapi kama ni elimu toa pande mbili mzee kwa walio nacho na wasio nacho
--Miaka 2 mpaka 18, yuko darasani anapambana kupata cheti cha kidato cha nne,

--miaka 19 mpaka 24, anaangaika na mahusiano kila anachopata anawaza atumie na demu wake,

--miaka 25 mpaka 30, ametoka home na kukaa gheto ili kujipanga wengine hapa uvumilivu unawashinda wanaoa kabisa,

--Miaka 30 mpaka 40, anaangaika kutafuta pesa za kununua kiwanja na kutaka kuanza kujenga, majukumu nayo ada za watoto kulea familia za ndugu na wazazi,

--Miaka 41 mpaka 50,kashapambana na kujibana sana angalau ameweza kujenga na kuishi kwake,

--Akishajenga tu anakaa miaka 5 kwenye nyumba yake Anafariki kwa pressure, au kisukari kwa sababu ya madeni,


Yaani zile haso zake zote alizopitia anakuja kupumzika kwa gheto lake akiwa na miaka kichele tu na kudanchi,

Vijana acheni mawazo ya kujenga wazeni kwenye kumiliki asset kama viwanja, wekeza kwenye biashara na N.K

Igeni wahindi ata awe boss vipi lakini bado ataishi kwenye nyumba ya familia,

Imagine baba yako kajenga, wadogo zako wamejenga, ndugu zako wamejenga na bado watoto wako watataka kujenga na sio kuishi pale ulipojenga wewe baada ya miaka 200 mbele itakuaje,

Majumba yote baada ya vifo vyao yatabaki kuwa magofu tu kwa sababu yatakosa mkaaji,


Mimi nitaishi tu kwa mzee wangu hela zangu nitafanyia mambo mengine kitu pekee nitakachofanya ni kupaendeleza na kupa update pale alipoishia mzee ili pazidi kuwa na muonekano wa kisasa.
 
'Cause I don't care when I'm with my baby, yeah
All the bad things disappear
Yeah, you're making me feel like maybe I am somebody
I can deal with the bad nights when I'm with my baby, yeah
 
Na kina sisi ambao wazazi wetu hawakujenga tutaishi wapi kama ni elimu toa pande mbili mzee kwa walio nacho na wasio nacho
Kama mzee hana inakubidi sasa upambane ujenge mkuu, na usiwe mji wako pekee jenga na ufanye huwe mji wa familia
 
Back
Top Bottom