Mtiririko wa Elimu ya Mh. Makonda katika ngazi ya Kidato cha Nne unafifia

....Kama Rais yupo siriaz na kuchungunza vyeti basi aanze na viongozi aliowateuwa.

mmh!...usisahau kuwa yeye mwenyewe Phd yake ilikuwa inatiliwa shaka sana ben saanane.

kuna watu wanatilia shaka kutoweka kwa saanane na suala lake la kuhoji PhD ya mkulu.
 
Mkuu Boban Sunzu, huyo jamaa ni kilaza, huna haja ya kumtafuta hivyo. Wenyeji wake tunamjua vizuri. Kwa kifupi O'level alipata SIFURI.

Mwenye namba ya Mama yangu Ndalichako naomba anirushie nipige ukuda pale, hawa ndio watu anaowatafuta wenye elimu ya kuunga unga.

Halafu watanzania wanaamini kuwa vilaza kama hawa wataleta maendeleo ya viwanda na kukomboa nchi kiuchumi, no way. Mkuu ana haki ya kuweka watu wa Kabila lake kuanzia mkuu wa majeshi hadi Mwanasheria mkuu wa serikali na DPP maana bila hivyo itakuwa shida. Watu dizaini hii ya Makonda ukitoa Sifa ya ukabila hawafiti kokote
Leadership is about wisdom and nature, there's no formal education for leadership.
 
Mimi nadhani ungetumika utaratibu mama NDALICHAKO amuite huyu DAUDI BASHITE a.k.a paulo pale centro kati kwa Kamanda SIRRO kwa mahojiano MUBASHARA yanayohusu huu utatraa.
 
Sikiliza mtukufu Raisi ingawa wewe Makonda ndio chaguo lako ila sisi hatuoni kama yeye alikuwa anafaa kuwa mkuu wa mkoa wa Dar-es salaam, Hapa tuwekee mtu aliye na umri mkubwa kidogo, mwenye fani nyingi anae heshimika na watu wengi.
 
Mungu wa wapi huyo anaye shirikiana na wadanganyifu.
Ukweli wa ki-ungu haufanani na huu wa kwetu...Nikupe mifano michache ya anayeitwa baba wa imani Ibrahimu...Je Ibrahimu anaitwaje baba wa imani huku akishindwa kusubiri ahadi ya Mungu mpaka kupelekea kuzaa na kijakazi wake? Yet Mungu aliiona imani ndani ya Ibrahim tena isiyo kuwa na mshaka...Ibrahimu alidanganya watu katika nchi ile ya ugen kuwa Sarai si mke wake kwakua alijua kwa uzuri wake lazima wakuda wangemuua ili wamchukue mke wake...Mungu kinyume na sisi wanadamu huangalia roho...Hakuna awezaye kuipima roho ya mwandamu isipokuwa mwenye hiyo roho na Mungu mwenyewe...

Tuache haya, swali langu kubwa; Mbona watuhumiwa wa ngada wanapata utetezi mkubwa hivi hadi wengine wakitamani hata nchi imezwe na bahari? Huu wema huu watoka wapi na sababu yake kubwa ni ipi? Mbona hatuoni utetezi wa kiwango hichohicho ukielekezwa kwa waathirika wa hizo dawa kwamba kuwepo na wenye hasira kama hizi ili hata ukituhumiwa tu upigwe mawe? Mbona mizani inaegemea kwenye wenye alama za kuhusika kuliko huruma kwa waathirika?
 
Suala si elimu kubwa, suala ni kufoji. Hivi nyinyi mademu wa Lumumba ni nani amewaroga au mmeamua tuu kujitoa ufahamu?
Hivi leo akisema hivyo vyeti vyote si vyangu nani atamkatalia? Iwapo amevi submit sehemu ili apatiwe cheo au nafasi hapo sasa ndiyo tunatakiwa tukomae lakini kama cheo chake hakihiitaji hicho cheti wala hakutakiwa kuki submit kusema ka foji ni kumwekea kosa ambalo ni la kumtungia...
 
FORGERY ni NORMAL kabisa.
Weye tafuta riziki yako na familia yako huku ukifanya ibada ukisubiri siku yako ya kufa
 
Kwa nini makonda asakamwe kipindi hiki sana mara tu baada ya kuwasha moto wa mapambano ya dawa za kulevya? Badala ya kuungwa mkono anajimbuliwa elimu yake. Hivi kama mtu anafanya mambo magumu wengine walioshindwa kuna haja gani kumchimbua katika mtazamo hasi. Hizi ni jitihada za kuzima moto wa mapambano ya dawa za kulevya aliouwasha. Moto ukiwaka porini wanatoka wanyama na wadudu wa kila aina kwa hasira.Kwa habari ya vyeti zoezi yakinifu likufanyika kikamilifu na kufuatilia watu walikoso tangu mwanzo,wengi wataumbuka tu,maana watakutwa walitumia majina na sifa zisizo zao kujikweza na itakuwa aibu kubwa kwa Taifa.Mambo kama haya si ya kuchimbuachimbua yataliaibisha Taifa.Haya yalitakiwa yadhibitiwe tangu mtu yuko ngazi za chini za elimu.
 
Na bado.....kama alisoma Mbegani Diploma ya Uvuvi......hakwenda form 5.....sasa tuunganishe na dots zoote tuone Ushirika alitumia jina gani n Mbegani jina gani huko chini jina gani!! Pia tuone vyeti vyake vya form 4......mbona mchezo rahisi sana?? Leo amekimbia kwenda kwa Radio pendwa....atajuta watu wanae tuuuu!!! Hadi kieleweke !! Busara kama wateuzi wanayo......wamtoe wapishe uchunguziii baadaye kama wana mapenzi nae wampeleke mkoa mwingine akapumzike Rukwa au ? Ile mikoa ambayo haina pressure kama Dar..... kilimo na ufugaji!!! Dar haiweziii
Mkuu kwann umeitaja RUKWA
 
Unataka kumfanyia udahili au? Cheo alichonacho kina kiwango cha elimu inayotakiwa?
Forgery is a criminal act.akibainika ni jela miaka isiyopungua mitatu. Hatujali cheo chake sheria ni msumeno
 
DUU ACHENI AFANYE KAZI YAKE MBONA KUNA ORIGINAL PROFESSOR KAZI ZIMEWASHINDA UONGOZI SIO VYETI NI HEKIMA NA UTHUBUTU
 
Back
Top Bottom