Mtindo wa vijana kuficha dawa za kulevya kupitia haja kubwa imeongeza mashoga

Wakudadavuwa

JF-Expert Member
Feb 17, 2016
17,506
15,999
Kuna jambo linanyamaziwa na kwa hakika hili ndiyo chanzo kikuu kwa vijana wa kitanzania wake kwa waume kuharibu njia za haja kubwa.

Vijana wengi hasa Dar na miji makubwa wamekuwa wakitumia vilainishi katika njia zao za haja kubwa kutibu majeraha yanayosababishwa na majeraha ya vifurushi vyenye mihadarati.Wengi hawajali kwani wanataka utajiri wa pupa.

Kwa vijana wa kike hupata madhara na Shida kusukuma mtoto wakati wa kujiunga. Kwa upande wa vijana wa kiume hulegea na hata kujikuta wakijiingiza kwenye ushoga kama njia ya "kujikuna" na hapa wenyewe wanasingizia eti "tabia hii wamezaliwa nayo" .Wanawake katika kundi hili nao hujikuta wakifurahia kuingiliwa kinyume na maumbile.

Tuungane kupinga biashara ya mihadarati.
 
Back
Top Bottom