Mtindo mpya wa mabinti/ Wanawake kujipatia wanaume/ Waume

Restless Hustler

JF-Expert Member
Apr 9, 2017
4,737
17,951
Wanapost elimu bandia kwenye mitandao ya kijamii; kujifanya wanawashauri Wanawake wenzao kuwaheshimu na kuwavumilia wanaume/ waume zao.

Wanaweza kuwasilisha kwa njia ya maandishi au video fupi (clip) na wakati mwingine hunukuu Maandiko Matakatifu na kwa mwanaume asiyejua kutofautisha dhahabu na chuma chenye kutu, anaweza kukutupuka na kuangukia kwenye mtego wa kudhani kwamba amempata mke/ wife material.

Ogopa matapeli. Tuishi nao kwa akili.
 
Back
Top Bottom