Mapouka au Mapuka kama jamaa wengine wanavyosema ni mtindo ambao umeanzia Ivory Coast. Chanzo ni staili ya ngoma ya kienyeji ambayo kawaida yake wanawake wanatingisha mwili na kuchochea hamasa za nyege kwa kadamnasi. Staili hii kwa sasa ni mziki wa dansi kama vile ndombolo n.k. Ukiangalia video nyingi za mapouka mtandaoni utaona zinatilia mkazo sana aidha mauno au matako ya wanawake.
Kuna mtindo mwingine ambao ni karibu na Mapouka na jamaa wameubatiza Coupe de Cale!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.