Mtindo huu jkt mujibu lazima vijana waive tu

MSEZA MKULU

JF-Expert Member
Jul 22, 2011
3,752
5,497
Hapa lazima adabu irudi tu
 

Attachments

  • jkt.jpg
    jkt.jpg
    36.9 KB · Views: 997
Hawa wakirudi hata FB hawaingii tena,
Tena Kagame ajiandae kurudi mlimani tunahitaji matuta ya viazi...!
 
yap ! tumeiva haswaaaa cha msingi jamii itupe ushirikiano kwa kile tulichofundishwa juu ya jamii yetu ya leo. Na pia kwa wale wazaz walokuwa wakihofu juu ya wanao wafute fikra potofu na wawaruhusu wanao kujiunga na JKT(NIDHAMU)
 
Halafu Loanboard wasiwape mkopo on time.....au sijui wasipate ajira hahaaaaahahaaaaaaa.......i can see it
 
ayo yanaonekana kama makorofi ayo,yalikia yametoroka hivyo yanakula 45 mnts exra drill
 
Back
Top Bottom