Mtikila Na DP Wana Wanachama Wangapi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mtikila Na DP Wana Wanachama Wangapi

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Muke Ya Muzungu, Mar 19, 2012.

 1. Muke Ya Muzungu

  Muke Ya Muzungu JF-Expert Member

  #1
  Mar 19, 2012
  Joined: Jun 17, 2009
  Messages: 3,451
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 0
  Zaidi ya mke wape na yeye mwenyewe, Mtikila, na Mrema wana wanachamba wangapi? Naambiwa kwamba Mtikila na mkewe ndio wanachama hai wa DP? simu yake ya mkononi ndio simu ya ofisi. Mke wake ndio katibu mkuu, na yeye mwenyewe Rev. Ndio mwenyekiti. anapokea kweli ruzuku huyu?
   
 2. CHAI CHUNGU

  CHAI CHUNGU JF-Expert Member

  #2
  Mar 19, 2012
  Joined: Feb 20, 2012
  Messages: 7,160
  Likes Received: 107
  Trophy Points: 160
  wanne!
  1.Yeye mwenyewe
  2.Mke wake
  3.Katibu wake
  4.Dereva wake.
  Teh teh teh!
   
 3. Muke Ya Muzungu

  Muke Ya Muzungu JF-Expert Member

  #3
  Mar 19, 2012
  Joined: Jun 17, 2009
  Messages: 3,451
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 0
  usinivunje mbavu.. nilikutana naye juzi maeneo ya kimara akiwa na suzuki kuu kuu, basi nikajiuliza maswali mengi sana. zile kesi zote anazoshinda si angenunua nangalau kigari cha maana? kweli ni mzalendo mtanganyika
   
Loading...