Mtikila,Marando,Lisu na wanasheria wengine jasiri: Peleka serikali Mahakamani!..

Prince Tumbo

JF-Expert Member
Apr 5, 2013
910
247
Kama Mtikila amekuwa akiiburuza serikali mahakamani kwa makosa mbalimbali na kuishinda, sasa nawaomba wanasheria hawa kuiburuza serikali mahakamani kwa makosa yafuatayo 1. Kutekwa kwa ulimboka na kibanda 2.kwa kuwasamehe mafisadi wa fedha za EPA (kwa nini serikali iliamua kujifanya ni mahakama na kuwasamehe?) 3. Kinana-Ujangili na makosa mengine. Fanyeni hivo kwa sababu mahakama zetu zisiwe kwa ajiri ya walala hoi wakati jinai inafanywa hata na serikali yenyewe...Teteeni haki za watanzania, teteeni uchumi wa nchi, hata kama ni mahakama za kimataifa,serikali ikajibu makosa haya..haiwezekani watu wafe, fedha za uma ziibiwe,wanyama waibiwe harafu CCM iendelee kuiba hata kura zetu kwenye chaguzi, TUTAKUFA NA UMASKINI,peleka mahakamani...
 
yaani tunatakiwa kuchukua hatua,serikali haieleweki kila ugonjwa inao sasa sijui tuanzakutibu upi?
 
mgonjwa wa namna hiyo hawezi kupona hata mkifanyaje, dawa nikumwomba mungu amchukue mapema ili watu wasiendelee kugharamia matibabu.
 
Ccm walivunja katiba,huwezi kumsamehe mtu kama hujamfikisha mahakamani issue ya EPA

Ukimsamehe mwizi, maana yake umeridhika ameiba, tena msamaha wa masharti ya kurejesha kwanza nusu ya fedha!..haiwezekani watu wengine wanasota magerezani kwa makosa madogo. Hii serikali inatuona wananchi wa kawaida ni mbulula eti?...
 
Kama Mtikila amekuwa akiiburuza serikali mahakamani kwa makosa mbalimbali na kuishinda, sasa nawaomba wanasheria hawa kuiburuza serikali mahakamani kwa makosa yafuatayo 1. Kutekwa kwa ulimboka na kibanda 2.kwa kuwasamehe mafisadi wa fedha za EPA (kwa nini serikali iliamua kujifanya ni mahakama na kuwasamehe?) 3. Kinana-Ujangili na makosa mengine. Fanyeni hivo kwa sababu mahakama zetu zisiwe kwa ajiri ya walala hoi wakati jinai inafanywa hata na serikali yenyewe...Teteeni haki za watanzania, teteeni uchumi wa nchi, hata kama ni mahakama za kimataifa,serikali ikajibu makosa haya..haiwezekani watu wafe, fedha za uma ziibiwe,wanyama waibiwe harafu CCM iendelee kuiba hata kura zetu kwenye chaguzi, TUTAKUFA NA UMASKINI,peleka mahakamani...
Mkuu na wewe unajisifu kuwa leo umepost jf,kazi kweli.
 
Ni tanzania tu ambapo wezi wa mali ya umma husamehewa! Wanaogarimia magaidi kwa kutuma hela kwa Mpesa huachwa wakidunda mtaani!
 
Back
Top Bottom