Mtikila kutinga Mahakamani kumshtaki Spika Makinda, Ndugai na Wabunge wote... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mtikila kutinga Mahakamani kumshtaki Spika Makinda, Ndugai na Wabunge wote...

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by matumbo, Feb 3, 2012.

 1. matumbo

  matumbo JF-Expert Member

  #1
  Feb 3, 2012
  Joined: Jul 9, 2011
  Messages: 7,201
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Mchungaji Christopher Mtikila anajipanga kuwapeleka mahakamani Spika Ana Makinda,Job Ndugai na Wabunge wote wanaosaini posho mpya kwa kosa la kugushi..Mtikila anasema wanagushi kuchukua pesa ambazo azijathibitishwa na Rais wa JMT Mh Kikwete ivyo wanaliibia Taifa..
   
 2. R

  RMA JF-Expert Member

  #2
  Feb 3, 2012
  Joined: Oct 10, 2010
  Messages: 410
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ni wazo zuri lakini ukweli ni kwamba wabunge hawajagushi hata kidogo!! Rais alikwishaidhinisha posho zitolewe. Lakini kwa vile yeye ni rais msanii, anajiosha na kuukana uamuzi wake wa awali maji yanapomfika shingoni! Anajitoa na kuwaacha ninyi wenyewe mnalumbana. Kwa kweli tunaye rais hatari na janga la kitaifa!
   
 3. m

  mgeni wenu JF-Expert Member

  #3
  Feb 3, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 3,669
  Likes Received: 614
  Trophy Points: 280
  Hakuna Mbunge anaesaini kucjhukuwa posho ila wanasaini mahidhirio
   
 4. Nyakageni

  Nyakageni JF-Expert Member

  #4
  Feb 3, 2012
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 13,716
  Likes Received: 955
  Trophy Points: 280
  Mtikila a.k.a Pasua kichwa. Arudi kudai Tanganyika
   
 5. Waberoya

  Waberoya Platinum Member

  #5
  Feb 3, 2012
  Joined: Aug 3, 2008
  Messages: 10,423
  Likes Received: 2,666
  Trophy Points: 280
  saa ya ukombozi ni sasa.....
   
 6. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #6
  Feb 3, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,799
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Mtikila ni mpambanaji wa ukweli, akigombea ubunge jimboni kwangu nitampa kura bila kinyongo
   
 7. m

  mgeni wenu JF-Expert Member

  #7
  Feb 3, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 3,669
  Likes Received: 614
  Trophy Points: 280
  Wabunge wote wabunge wa ccm?
   
 8. manenge

  manenge JF-Expert Member

  #8
  Feb 3, 2012
  Joined: Apr 30, 2008
  Messages: 280
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Acha kuwasumbuwa waheshimiwa bana
   
Loading...