Mtikila Kutinga Arumeru... Adai Shetani ni afadhali Kuliko...! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mtikila Kutinga Arumeru... Adai Shetani ni afadhali Kuliko...!

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by Pascal Mayalla, Feb 27, 2012.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #1
  Feb 27, 2012
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,596
  Likes Received: 18,592
  Trophy Points: 280
  Wanabodi,
  Talk of a devil, and a devil will appear!.
  Ni asubuhi ya leo kuna post ya kuishauri Chedema kuungana na Mchungaji Mtikila, nami nikafanya mapitio ya my last encounter na huyu mtu, mara leo ghafla nimekutana naye town!.

  Swali la kwanza nimemuuliza kuhusu Arumeru, kasema DP itasimamisha mgombea na yeye ndie ataongoza mashambulizi!.

  Nikauliza nilifikiri wapinzani wameshajifunza umoja ni nguvu na utengano ni udhaifu, kwa nini asiitumie fursa hiyo kumuunga mmoja wa wagombea wa Upinzani prefarably mgombea wa Chadema!.

  Mtikila amesama shetani ana afadhali kuliko Chadema!. Miongoni mwa sababu alizotoa ni Chadema ni wauwaji, walimuua Chacha Wangwe!.

  Amedai Chadema sio wapinzani lolote. wala sio chochote, pamoja na mihela yao yote wameshindwa ku- engage competent constitutional lawyer kupinga sheria ya mabadiliko ya katiba ambayo ameiita ni sheria ya kipuuzi ajabu!.

  Amesema baada ya sheria ile kupitishwa yeye aliamua kutafuta wanasheria mabingwa wa katiba kutoka Nigeria ili kuendesha kesi ya kikatiba, lakini Chama Cha Wanasheria cha Tanganyika, TLS, walimuomba aachane na kuagiza wanasheria toka nje eti watakiabisha chama chao na taifa kwa ujumla kuonekana Tanzania haina competent constitutional lawyers!. Hao TLS walimwambia wangeipinga mahakamani lakini mpaka sasa hawajafanya lolote!.

  My Take.
  Mchungaji Mtikila ni insane, japo nakiri yuko smart kwenye dressing na ni smart upstairs, utainote insanity yake by his tone of his speech!. Japo baadhi ya madai yake siyo ya kuzingatiwa lakini pia sio mtu wa kupuuzwa!.
   
 2. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #2
  Feb 27, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Aisee!
  Siasa ni michezo ya ajabu!...nahisi huenda amenunuliwa na chama fulani huyu ili akagawe wananchi na kura!
  Haiwezekani azushe madai mazito kiasi hicho wakati kama huu!
   
 3. babu M

  babu M JF-Expert Member

  #3
  Feb 27, 2012
  Joined: Mar 4, 2010
  Messages: 3,994
  Likes Received: 1,004
  Trophy Points: 280
  Hivi ameshamaliza kulipa lile deni la Rostam Aziz au ndio harakati za kumalizia?
   
 4. jouneGwalu

  jouneGwalu JF-Expert Member

  #4
  Feb 27, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 2,680
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  Watu wa Meru wa mpokee kama watu wa Mara walivyompokea!

  Huyu jamaa mi huwa nashindwa kumtafsiri!
  Nadhani Pasco upo sahihi.
   
 5. Power G

  Power G JF-Expert Member

  #5
  Feb 27, 2012
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 3,911
  Likes Received: 88
  Trophy Points: 145
  Njaa kitu kibaya sana
   
 6. F

  FUSO JF-Expert Member

  #6
  Feb 27, 2012
  Joined: Nov 19, 2010
  Messages: 11,867
  Likes Received: 2,340
  Trophy Points: 280
  mtikila ni mwanasiasa asiyeeleweka msimamo wake, ana kazi ngumu sana kuwafanya wananchi tumuelewe.

  Amesahau like ndonga (jiwe) alilopigwa akiwa jukwaani kule Tarime --- aende tena Arumeru akaseme hivyo hivyo.

  Yaani akiwa jukwaani akinadi sera za chama chake, mchungaji alisikika akisema "CDM ndiyo walimuua cha......." ile hajamaliza jiwe na usoni Tuuuhh.... mzee wa watu midamu na mkutano ukaishia hapo hapo.

  Mzee kwa njaa huyu..... anaweza kuiuza hata Tanganyika anayojidai kuililia kila siku.
   
 7. H

  Hofstede JF-Expert Member

  #7
  Feb 27, 2012
  Joined: Jul 15, 2007
  Messages: 3,584
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 0
  Pasco heshima mkuu;

  Wazee wa zamani walikuwa na usemi kuwa ukitukanwa tusi halafu ukaulizwa umetukanwaje na wewe ukarudia matusi yale wewe ndiyo unayekuwa gulity kwa kutukana na kupewa adhabu stahiki. Kwenye hili la Mtikila ninachukulia kuwa wewe ndiyo guilty na mtikila hahusiki.

  Ni hayo tu!
   
 8. M

  MWananyati Senior Member

  #8
  Feb 27, 2012
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 155
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Mtikila is thinking beyond. He is ahed of time than most of Tanzanians ndo maana hatumuelewi
   
 9. S

  Silent Burner Member

  #9
  Feb 27, 2012
  Joined: Feb 25, 2012
  Messages: 92
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mmmh, hii red inakaribiana na ukweli!
   
 10. DOUGLAS SALLU

  DOUGLAS SALLU JF-Expert Member

  #10
  Feb 27, 2012
  Joined: Nov 13, 2009
  Messages: 11,649
  Likes Received: 4,754
  Trophy Points: 280
  Kesha vuta mshiko wa nguvu huyo, yeye ni kama kundi la Ze Komedi, ukimpa hela ukitaka alie analia ukitaka acheke anacheka, njaa mbaya sana.Majuzi alionekana akiwa na Mwigulu.
   
 11. Mimibaba

  Mimibaba JF-Expert Member

  #11
  Feb 27, 2012
  Joined: Jul 1, 2009
  Messages: 4,566
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Pasco, much as you may be doing your job; this time you have gone too low.
   
 12. T

  Tikerra JF-Expert Member

  #12
  Feb 27, 2012
  Joined: Sep 3, 2008
  Messages: 1,704
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Let me tell you Mtikila is not insane.Tatizo lake ni kwamba anajua ukweli mwingi mno ambao watu wengi wanaona kama kusadika.Leo nikikuambia kwamba serikali ya Marekani is a puppet government, utaniambia mimi ni insane, simply because ukweli huo kwako haupandi.Puppet to who utaniuliza.

  Lakini huo unabaki kuwa ukweli, kwasababu serikali ya Marekani ipo pale kwa ajili ya kutekeleza maslahi ya kikundi fulani cha watu, it's being used as tool.

  Whether unajua hicho kikundi au la ukweli unabaki palepale.

  So,Mtikila is not insane, he simply knows too much ya mambo ya sirini of which most people don't know, including you.
   
 13. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #13
  Feb 27, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Sasa kama ameona TLS wamepotezea na yeye pia kapotezea.Shame....
   
 14. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #14
  Feb 27, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,012
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  Kwa Mchungaji Mtikila mpinzani ni Mch. Mtikila! Yeye haamini kuwa Tanzania kuna mpinzani mwingine yeyote na kwa hakika hawezi kuungana na mtu/chama chochote cha upinzani! Mwanzoni mwa miaka ya 90 Mtikila alikuwa juu sana na ile slogan yake ya walalahoi na ma*********. Watu kwa hakika walimpenda hadi wanafunzi wa UDSM walilisukuma gari lake. Sasa mwaka 1995 Augustino Lyatonga Mrema akajitoa CCM na kujiunga na NCCR MAgeuzi basi wana mageuzi wakaona ni muda muafaka wa Mtikila na Mrema kuungana na kuiondoa CCM madarakani; heeee Mtikila alitoa kanda ya kashfa kwa Mrema na kila mtu aliyeisikia hiyo kanda alibaki kinywa wazi; fursa ikapotea!! Huyo ndiye mchungaji Christopher Mtikila ambaye sijui anaendesha kanisa gani na liko wapi!!

  Ila jamaa anaongea KANA kwamba ni mkombozi. Nakumbuka miaka ya 1990 alivyowavutia watu (hata mimi nilivutiwa japokuwa sikusukuma gari) wakati huo akiwa na Benz lake lenye Bendera ya Tanganyika na pembeni kuna mkewe bi. Georgia Mtikila!
   
 15. kichomiz

  kichomiz JF-Expert Member

  #15
  Feb 27, 2012
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 12,026
  Likes Received: 2,677
  Trophy Points: 280
  Ukweli upi?
   
 16. Feedback

  Feedback JF-Expert Member

  #16
  Feb 27, 2012
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 7,944
  Likes Received: 359
  Trophy Points: 180
  Hata hizo za kugawa atazitoa wapi walijaribu CUF Igunga wakaambulia kura 100 itakuwa DP.
   
 17. kakakuona40

  kakakuona40 JF-Expert Member

  #17
  Feb 27, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 300
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  "Mtikila amesama shetani ana afadhali kuliko Chadema"
  kuna perfect correlation ila tatizo aliyeitoa kauli nae ndo wale wale!
   
 18. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #18
  Feb 27, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Ila anaujua ukweli mwingi sana ktk matukio ya kisiasa ya nchi.
   
 19. Feedback

  Feedback JF-Expert Member

  #19
  Feb 27, 2012
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 7,944
  Likes Received: 359
  Trophy Points: 180
  Heshima yako Hofstede, Pasco anafikiri hatujui lengo lake anahangaika sana lakini safari hii hata akienda kwachimbua kina Wangwe RIP hapati kitu.
   
 20. EMT

  EMT JF-Expert Member

  #20
  Feb 27, 2012
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 14,464
  Likes Received: 865
  Trophy Points: 280
  Pasco, haya ndio baadhi ya mambo ambayo utakuwa unayarusha kwenye kipindi chako kipya?
   
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...