Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,470
- 911,173
Channel Ten leo jioni imetuhabarisha ya kuwa Mchungaji Mtikila ataiburuza NEC mahakamani kwa kile anachodai kunyimwa haki yake ya kimsingi ya kugombea Uraisi
Alidai yakuwa NEC ilimwonea ilipoaamua ya kuwa hakuwa na sifa ya kugombea kutokana na majina ya wadhamini ya mikoa 3 kuwa na dosari.............alidai huo ulikuwa ni uongo na anataka mahakam itengue matokeo ya uchaguzi na uchaguzi urudiwe........
Vile vile Mtikila alitumia fursa hiyo kuitupia madongo Chadema kwa kutowashirikisha vyama vya upinzani katika serikali ya upinzani na kusema huo ni ubinafsi na urihi wa madaraka.........................
Lakini kwa mtazamo wangu, Mtikila kama anaona uchaguzi ni batili kwa nini anauhalalisha kwa kuhoji matukio ya mwendelezo wa uchaguzi ambao yeye tayari aona ni haramu..........kama anaukataa basi aukatae
Hata hivyo, Mwenyekiti wa Chadema Philemon Mbowe tayari amekwisha kumjibu ya kuwa hawako tayari kushirikiana na vyama ambavyo haviweki masilahi ya taifa mbele...............