Elections 2010 Mtikila kuiburuza NEC mahakamani

Rutashubanyuma

JF-Expert Member
Sep 24, 2010
202,968
2,000
Channel Ten leo jioni imetuhabarisha ya kuwa Mchungaji Mtikila ataiburuza NEC mahakamani kwa kile anachodai kunyimwa haki yake ya kimsingi ya kugombea Uraisi

Alidai yakuwa NEC ilimwonea ilipoaamua ya kuwa hakuwa na sifa ya kugombea kutokana na majina ya wadhamini ya mikoa 3 kuwa na dosari.............alidai huo ulikuwa ni uongo na anataka mahakam itengue matokeo ya uchaguzi na uchaguzi urudiwe........

Vile vile Mtikila alitumia fursa hiyo kuitupia madongo Chadema kwa kutowashirikisha vyama vya upinzani katika serikali ya upinzani na kusema huo ni ubinafsi na urihi wa madaraka.........................

Lakini kwa mtazamo wangu, Mtikila kama anaona uchaguzi ni batili kwa nini anauhalalisha kwa kuhoji matukio ya mwendelezo wa uchaguzi ambao yeye tayari aona ni haramu..........kama anaukataa basi aukatae

Hata hivyo, Mwenyekiti wa Chadema Philemon Mbowe tayari amekwisha kumjibu ya kuwa hawako tayari kushirikiana na vyama ambavyo haviweki masilahi ya taifa mbele...............
 

Omuregi Wasu

JF-Expert Member
May 21, 2009
749
195
:hippie:wow! patamu hapo. Mpaka uchaguzi unaisha yeye alikuwa wapi kudai haki zake hizo? Anajimaliza kisiasa maana ametumwa na mshirika wake Rost Tam aishambulie Chadema!!!:doh: Pole Sana Mtikila maana umekosea njia .... jaribu mlango wa pili
 

Mopalmo

JF-Expert Member
Nov 11, 2010
533
225
huyo hana jipya mi huwa nampuuza tu,haelekei kama ni mpinzani wa kweli bora atulie tu,au akahangaikie ubunge kijijini kwake 2015 kama Mrema.
 

Rutashubanyuma

JF-Expert Member
Sep 24, 2010
202,968
2,000
Kazi kubwa ambayo Rev. Mtikila atasaidia ni kumweka JK katika viongozi ambao Uraisi wao haukubaliki na unalalamikwa kuwa ni batili.....siasa ni kukubalika na JK kutokubalika na hata kujikuta ana kesi nyingi mahakamani kutazidi kumpunguzia uhalali wa kuongoza kwa hiyo Mtikila siyo wa kupuuziwa hata kidogo.......
 

Mtu wa Mungu

JF-Expert Member
Nov 9, 2010
444
195
Huyu huwa siku zote ni mtafuta pesa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Hana lo lote!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Ndiyo maana Tarime wanaomjua walimjibu kwa jiwe la ngeo!!!!!!!!!!!!!!! Nadhani hata NEC walimwona kuwa atakwenda kuleta rabsha tu ndiyo maana wakamzima nyuiiiii!!!!!!!!!!!!!!
 

silver25

JF-Expert Member
Jul 29, 2010
744
0
Mtikila anachokifanya sasa kinaonekana kama hakina image kwasababu hatujui Effects zake kwa wana CCM, lakini mi ninauhakika kesho mambo yatakapobadilika watajua kilikuwa nini
 

Waberoya

Platinum Member
Aug 3, 2008
14,827
2,000
Kazi kubwa ambayo Rev. Mtikila atasaidia ni kumweka JK katika viongozi ambao Uraisi wao haukubaliki na unalalamikwa kuwa ni batili.....siasa ni kukubalika na JK kutokubalika na hata kujikuta ana kesi nyingi mahakamani kutazidi kumpunguzia uhalali wa kuongoza kwa hiyo Mtikila siyo wa kupuuziwa hata kidogo.......

Hili mara nyingi huwa linapuuzwa sana, Mtikila amefanya mengi ya kihistoria na kubailisha vitu vingi sana, alichosema Mtikila kuhusu chadema si cha kupuuziwa though Chadema nao wana sababu zao.

kwa sisi wapembeni, malumbano ya chadema na mtikila hayana tija kwa taifa, ila move ya mtikila kuishtaki NEC yana tija kwa taifa kama aambvyo move ya chadema kuondoka kwenye hotuba ya JK! tuwe wajanja jamani sio mtu akiwa kinyume na chadema basi adui kabisa hata kama atafanya jambo zuri mbele

siasa za kujikomba komba humu ndano zikome! great thinker is just to think greatly!!
 

Waberoya

Platinum Member
Aug 3, 2008
14,827
2,000
Mtikila anachokifanya sasa kinaonekana kama hakina image kwasababu hatujui Effects zake kwa wana CCM, lakini mi ninauhakika kesho mambo yatakapobadilika watajua kilikuwa nini
Right on bro. mgombea binafsi na issue kibao zimeanzia kwa huyu jamaa, acheni watu wawapuuze ila he is making history!!! REALY
 

Nyange

JF-Expert Member
Mar 25, 2010
3,471
2,000
Mtikila= lyatonga mrema= Mbatia= Makamba= Rostam= Kinana= Vijisenti= Lowasa= Takukuru =Usalama wa taifa = NEC=kikwete= JWTZ +Kova

hawa ni watu hatari kwa ustawi wa Taifa letu, wajue kwamba tuna wakataa, tunawakataa, tunawakataaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa

Tunadai maandamano!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 

Waberoya

Platinum Member
Aug 3, 2008
14,827
2,000
Mtikila= lyatonga mrema= Mbatia= Makamba= Rostam= Kinana= Vijisenti= Lowasa= Takukuru =Usalama wa taifa = NEC=kikwete= JWTZ +Kova

hawa ni watu hatari kwa ustawi wa Taifa letu, wajue kwamba tuna wakataa, tunawakataa, tunawakataaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa

Tunadai maandamano!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

I still believe on those guys, kama mwaka 1995, Mrema alifanya mambo na kupata kura nyingi za urais kuliko Slaa mwaka huu, then leo anaonekana ni sehemu ya CCM, i doubt. Kama mtikila alivyolala sero mara nyingi na kuleta changes nyingi za kidemokrasia anaitwa ni sehemu ya ccm, I doubt

My take is usual, nature ya opposition ita waselect, ila please be careful na watanzania hawa, sitaki kusikia akina Slaa, Zito, Lissu, Mnyika, baada ya kupambana sana na kuona suppport zero ya watanzania , wakiamua kukaa kimya then waje kuitwa CCM!!!! There is a long history why Tanzanian have failed opposition parties and frustrate these leaders, mlitaka kufanya na mwaka jana mlipoanza kusema Zitto ni sehemu ya CCM!!! the gusys came out safe from those accusations

nasema wazima moto wa mapinduzi ya watanzania ni sisi wenyewe , hawa wazalendo wakikata tamaa na kujichokea na kuanza kutembea kwa miguu wanaitwa wamefulia!!!! tunasahau kuwa hawa watu kurudi CCM ni dk 2 tu, maana ni ngumu mtu kulaza familia yake na njaa kwa kisingizio cha uzalendo, ili wali wanahitajika kukombolewa ni wawaza harusi tu! Leo Slaa akisema analala na njaa ni watanzania wangapi wako tayari kutoa michango ya yeye na familia yake waishi?

I was there when Mrema started these moves, I was there when mtikila call wahindi magabachori, I believe Chadema stands on shoulders of those guys who dared to do unthinkable even when Nyerere 'dictator' was still alive...calling names is ok, but you may be laying foundations for others to call names our current heros like Slaa in near future!!


Au unafikiri siasa imeanza leo nchi hii?acheni dharau jamani ao wengine sijui akina mbatia mimi siwajui, wala sijui anafanya nini opposition, in short sijui, wale waliofanya remarkable things I will always appreciate their any inputs!!!
 

roby m

Member
Nov 21, 2010
28
20
:hungry:Mtikila Tushakuzoea huna jipya, CCM wamekushinda Unavamia CHADEMA...We 'll lose you in politics coz CHADEMA ni kama Tsunami kwa serikari ya CCM!!
CHADEMA is my home SLAA is my presidaaa!!


Democracy without freedom of speech is DICTATORSHIP!
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom