Mtikila: Kikwete ana ndimi Mbili!

KING COBRA

JF-Expert Member
Nov 10, 2011
2,782
864
Mchungaji Christopher Mtikila amesema kwamba Rais Jakaya Kikwete ni nduma kuwili!!
Amesema tamko alilotoa jana kuwa Serikali haihusiki na mahakama ya kadhi , alishatoa tamko hilo Mwaka Juzi kwenye Msikiti wa Gadafi Dodoma.

Amesema baada ya kutoa tamko hilo Dodoma tumeshuhudia jitihada za Kikwete kutenga fedha kushawishi wanasiasa wakati wa Bunge la Katiba na kuwaandaa Mawaziri watakao saidia hilo .Hadi sasa ameshawishi Mswada ukaingia Bungeni
licha ya Jukwaa la Wakrito kutoa tamko la Kupinga.

Amesema ni jambo la ajabu Kikwete kutoa tamko hilo wakati Kesi ya msingi ipo Mahakani , jambo ambalo yeye anakwepa hukumu

Pia amesema inashangaza Bunge limepeleka Mswaada huo Bungeni na Leo Jumapili kuna semina Ukumbi wa Pius Msekwa harafu Kikwete amesha Pinga wakati Mswaada huo unatakiwa uletwe kwake uli ausaini uwe Sharia.

Mtikila amewashauri Waislam nao wajitokeze Kujisajiri kwenye daftari la kupiga kura na mda ukifika wapigie kura ya HAPANA kwa kuwa wamedanganywa na Kikwete.
source :Mtikila Mtikila-7.jpg Mtikila-6.jpg mtikila+mchungaji-1.jpg
 
Kwa hiyo JK kaingilia mwenendo wa kesi, kwa kuongelea ishu iliyoko mahakamani!! go go go Mtikira
 
Si mnakumbuka alivyokubaliana na TCD kuhusu katiba baadae akaipokea dodoma! Let's be careful! Kama rais amesema no kadhi court! Semina ya leo dodoma walihadili nini na pinda kusema atamshauri!!! The greatest movie ever!
 
Rais Kikwete ni kweli chaguo la MUNGU kwa nchi yetu katika kutimiza mapenzi ya Mungu sawa na unabii wa kiongozi wa dini
 
hii kitu ya mahakama ya kadhi haiwezekani kwa taifa lisilo na dini,swala hili baadhi ya wanasiasa wanajaribu kulitumia kuwadaa tu raia kujijengea mazingira ya kuelekea magogoni.Ila mifano mingi wameiona ktk nchi za wenzetu ,Katiba hii kila mwananchi atafakar kabla ya kupiga kura kwan ina matatizo lukuk ila wanatumia mahakama ya kadhi ili wapate kura za waislamu wakat ikpita ina mambo yatayowahumiza waislamu piA
 
Back
Top Bottom