Mtikila: Kagame amepenyeza Wanyarwanda 35,000 Tanzania, Burigi, katika Wilaya ya Muleba

Naanza kuwa na wasiwasi na yule kijana msaka uraisi inaweza ikawa ni project yao. Maana alisema yeye anakubalika Africa Mashariki na pia ni mshauri wa M 23. Kuna kitu hakiko sawa. Thanks Mtikira, ila acha kumhusisha Nyerere na huu unyang'au!
 
Credibility ya chris in question.
U might be right.., but i hav a strong feeling, of all allegations, a thing or two could be true, sasa kwa mustakabali huu,, ishu hata moja tu alizoelezea rev. ikiwa ni kweli, usalama wa nchi upo shakani...,

by the way, its very interestin
 
Tupo tayari kutoa polisi wakawacharaze chadema ama jeshi likawapige waandamanaji lakini suala la mipaka ni serikali ya kijiji isnt it?
 
Credibility ya chris in question.

_____________________________________________________

Isipokua hilo la maadui 35,000 kuigia nchini na kufanya watakavyo, mengi yana mantiki. Kwa mfano ni kweli kwamba kifo cha Raisi ya Rwanda na Raisi wa Burundi kilikuwa na mkono wa Kagame ndani yake. Huo ndiyo msimamo wa taasisi mbalimbali nchini Ufaransa. Huenda na kifo cha Prof Jwani Mwaikusa(RIP). Ni vizuri upelelezi wa mauaji ya Profesa wetu ukanzishwa tena kwa vile hii ni taarifa muhimu. Njama ya kuigawa DRC na kuanzisha himaya fulani pia ni common knowledge hata ndani ya ukanda wa maziwa makuu na ndani ya Umoja wa Mataifa. Tatizo linaonekana kuwa ni nani atawafunga paka hao wawili kengele. Inaonekana hawa jamaa wanaogopwa sana kama ukoma. Ila tujihadhari kuifanya jamii nzima kuchukiwa kwa sababu ya nia mbaya ya viongozi wao. Tutakuwa tunaeneza ile chuki kati yao iliyosababisha mauaji ya halaiki. Chris Mtikila awe makini asije akawa anatumikia Wahutu wenye itikadi ya mangamizi.
 
Naona imekolezwa chuki tu dhidi ya Watutsi japo ni kweli wapo nchini wengine ni due to circumstances tu sio kupandikizwa

kama huelewi usibishe, wapo sua wengi sana wakidai ni watu wa kigoma! na wengine walishateuliwa kuwa hata makatibu wakuu na wakurugenzi katika wizara mbalimbali. Daima Mungu yupo upande wetu na tutashinda! chamsingi tuendelee kuwa wamoja na kuimarrisha zaidi uzalendo wetu. Kagame ni adui namba moja wa bara la afrika ipo siku tutamsambaratisha.
 
Huyu Mch. ni jembe haoni tabu kusema kile nanachoamini hata kama wote mtampinga.
Hii imesaidia kuanika uzembe na udhaifu wa serikali yetu.
Hebu fikiria idara nyeti za serikali yetu kama TISS.JW na hata ile inayoshughulikia mambo ya Uhamiaji ina watu ambao sio raia. Kaazi kweli kweli!
 
Duuu hatari sana hawa watu wamemiliki mapori yetu yoote huko Kigoma na Kagera aibu!

Serikali iko bize na kutafuta dawa ya kummaliza kabisa adui namba moja wa nchi hi Dr Slaa.
Hayo mengine sio muhimu saana, yanaongeleka!
 
Sawa baba mhutu Mtikila tumekusikia!

Mimi binafsi nimeipenda sana hiyo himaya ya ki Tutsi kama kweli ipo, Ni bora zaidi ya hii himaya ya uamsho inayohubiriwa na radio imani.

Himaya ya ki Tutsi ni ya kiafrika, yenye hadhi na maadili ya kiafrika, lakini hii ya uamusho ni ngeni, inafadhiliwa na wale wale waliotukamata wakatufunga minyororo na kutupeleka utumwani huku wakiwabaka mama na dada zetu, baba na kaka zetu wakihasiwa, eti leo wamegeuka wamekuwa watu wema, wanasema sisi na wao ni ndugu damu damu tena ni ndugu bora zaidi ya wamatumbi wenzetu wa Ruvu darajani!!!???? Hiyo haikubaliki, Miafrika lazima tuamke, tupende na kuthamini vitu vyetu wenyewe, tuwe na uzalendo wa kiafrika tulinde raslimali zetu kwa manufaa yetu na vizazi vyetu, vinginevyo Tanzanite itachimbwa Arusha lakini Mtengenezaji na muuzaji mkubwa yuko India.

Kagame is an African hero, ukimpa nchi kama Tanzania yenye raslimali lukuki aiongoze kwa miezi 6 tu, itaitoa kwenye kundi la nchi maskini mno duniani hadi kundi la kati, Mseveni na huyu Kagame ni wana wa Afrika wana uchungu na Afrika, wanajua ni mwafrika na siyo muasia mwenye hakimilki ya raslimali zetu. Long live Tutsi Empire! Long live Mseveni! Long live Kagame!
 
Hivi huyu mkulu (fazahausi) huwa anapata muda wa kupitapita humu?, ingeweza kumsaidia sana
 
Sidhani kama kuna ubaya wa mtutsi kuishi tanzania,kama wamarekani wangekuwa hivyo,africa msingekuwa mnajivunia barack Obama hata wakishika nafasi za juu sawa ila la msingi ni serikali ndio iwajibike kwa wahamiaji holela.


kama huelewi usibishe, wapo sua wengi sana wakidai ni watu wa kigoma! na wengine walishateuliwa kuwa hata makatibu wakuu na wakurugenzi katika wizara mbalimbali. Daima Mungu yupo upande wetu na tutashinda! chamsingi tuendelee kuwa wamoja na kuimarrisha zaidi uzalendo wetu. Kagame ni adui namba moja wa bara la afrika ipo siku tutamsambaratisha.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom