mkorinto
JF-Expert Member
- Jun 11, 2014
- 30,701
- 37,300
Hawa wazee wa political interests hawajali kitu, wanaweza ropoka chochote tu.Nachojua Kagame akitaka kuispy tz kwa lengo baya trust me atakua amefanya kitu kibaya kuliko vyote alivyofanya na ndio utakua mwisho wake.