Mtikila: Kagame amepenyeza Wanyarwanda 35,000 Tanzania, Burigi, katika Wilaya ya Muleba

Dah hakika kagame sio mtu mzuri. Yaan mm nmesoma na hao watusi wanaitetea nchi yao bila uoga. Na kwa kagame huwaambii chochote. Kwao ni Mungu. Yaan Kagame kaamua kuitingisha historia kufit matakwa yake.

Ukiunganisha dots na rumors za watu kuhusu viongozi wakuu wasio wazaliwa huenda ikawa ni hoja ya msingi yenye kutia wasiwasi na mustakabali mzima wa nchi yetu.
 
hivi si wamempa ofisi kwa upendeleo maalumu ya clearing pale bandarini na kahama shinyanga plus aliombwa na serikali ya Tanzania kutusaidia wataalamu wa Information technology kuendesha ATCL.. huoni kama tupo irresponsible kwa vizazi vijavyo?vipi yule mnyarwanda wa IT jeshini kwetu aliyetoroka akarudi kwao Rwanda?
Hv tz mnadhani ni nch ya mchezo mchezo tu jichanganyeni huku ni kimya kikimya tu
 
Kagame ameuwa Marais 4 ktk nchi 3 tofauti
1. Ndadaye na Ntadyamira ( Burundi )
2. Habyarimana ( Rwanda )
3. Kabila ( DRC )
Aliwakosakosa Kikwete ( Tz)
Nkurunziza ( Brndi )
M7 ( Ug )
Kwasababu hizo nakubali kua hata kwa Sankala labda ka mr slim kanaweza husika
1554886495894.jpeg
 
Namnukuu marehemu mtikila........

1. Kagame amemwaga kinyama sana damu ya mamilioni ya Wahutu, ambao bado anaendelea kuwaua usiku na mchana, kuliko Adolf Hitler alivyowaua Wayahudi.
2. Kagame anaendesha mauaji dunia nzima, kwa kutumia kikosi chake maalum cha Escadron de la mort, ambacho ndicho alichotumia hata kumwangamiza Bingwa wetu wa Sheria, Hayati Profesa Jwani Mwaikusa, kwa kosa la kuweka wazi katika ICTR kwamba mtuhumiwa mkuu wa genocide katika Maziwa Makuu ni dikteta Paul Kagame. Kagame alihofia kwamba kutokana na majumuisho ya mwisho ya Mwanasheria huyo, lazima Ulimwengu ungelazimisha kukamatwa kwake na kufikishwa mbele ya Sheria.
3. Kagame akiwa na cheo cha Meja alikuwa mstari wa mbele kumwua Rais Thomas Sankara wa Burkina Faso, kule Uagadougou.
4. Kagame alikuwa Burundi kwa ushirikiano wake muhimu na Jean Bikomagu, katika mauaji ya kikatili sana ya marehemu Rais Melchior Ndadaye.
5. Kagame ndiye aliyehusika kikamilifu na utunguaji wa ndege iliyomchukua Rais Juvenal Habyarimana wa Rwanda pamoja na Rais Cyprien Ntaryamira wa Burundi.
6. Kagame analaaniwa na dunia nzima kwa kumfanyia unyama wa kutisha mwanasiasa mwanamke, shujaa Victoire Ingabire, ambaye amemtupa gerezani kwa kosa la kugombea Urais wa Rwanda akiwa Mhutu, na kosa la kuwa na kibali kwa wananchi wa Rwanda kuliko yeye aliyeloa damu ya mamilioni ya binadamu aliowaua kinyama.
7. Kagame amemwaga majasusi zaidi ya 1,000 katika Nchi yetu, wanaotumia ufisadi wa mapesa, ngono n.k katika kutengeneza mazingira ya kutekwa utawala wa nchi yetu na Watusi na hatimaye nchi yetu kuwa mkoa wa Himaya yao. Kama ilivyoelezwa juu, maelfu yao wamefanikiwa kujipenyeza katika taasisi zote nyeti za dola ya Nchi yetu. Walipoishika Uhamiaji waliitumia kujipa uraia na kukamata nafasi nyeti na ardhi yetu pia.

8. Maelfu ya majasusi wa Kagame wanajifanya wanashughulikia mizigo ya Rwanda na Uganda, wengine wanajifanya wafanyabiashara au wanatafuta kuwekeza, wengine wanajifanya wanafunzi. Lakini ukweli ni kwamba Taifa letu liko uchi kwa Kagame, kwa sababu kila tunachokifanya katika Nchi yetu kinaripotiwa Rwanda masaa 24. Katika Jiji la Dar es Salaam, Mikocheni ndiko walikojaa Wanyarwanda hao kama kwao.
Duu
 
Sahihi kabisa mkuu
 
hivi si wamempa ofisi kwa upendeleo maalumu ya clearing pale bandarini na kahama shinyanga plus aliombwa na serikali ya Tanzania kutusaidia wataalamu wa Information technology kuendesha ATCL.. huoni kama tupo irresponsible kwa vizazi vijavyo?vipi yule mnyarwanda wa IT jeshini kwetu aliyetoroka akarudi kwao Rwanda?
Hakufika Rwanda aliishia njiani
 
Nachojua Kagame akitaka kuispy tz kwa lengo baya trust me atakua amefanya kitu kibaya kuliko vyote alivyofanya na ndio utakua mwisho wake.
 
53 Reactions
Reply
Back
Top Bottom