Mtikila: Kagame amepenyeza Wanyarwanda 35,000 Tanzania, Burigi, katika Wilaya ya Muleba

kagame ni hatari sana anataka aedhi yetu maana sheria za umiliki ardhi hasa vijijini ni mbovu sana na kwenye uraia tumegeza sana kitu ambacho ni hatari kwa usalama wa nchi
naona GT wengi tunatoa malalamiko tu , tutoe sasa na mapendekezo ya solution, mi napendekeza tuvunje EAC kisha tuunganishe Tanzania, Burundi na Rwanda kuwa nchi moja. Burundi na Rwanda zitakuwa mikoa na their national universities vitakua vyuo vya kata- matatizo yatakuwa yameisha, hakuna tena vurugu za kagame za kuiba raslimali za kongo wala kwenda kongo kuua raia wasio na hatia
 
Huyu mzee Mtikila serikali huwa inampuuza na kumwona kama hamnazo vile lakini kiukweli mambo ambayo huwa anayatoa ni kweli tupu!

Kagame na Mseveni lao ni moja...kumega ardhi ya Tanzania yaani mkoa wa Kagera uende Uganda na Kigoma uende Rwanda! kila mwaka mseveni anasogeza mpaka wake kuingia ardhi ya Tz. beacons za mpaka zimeng'olewa, waganda wanalima katika ardhi yetu na wanamiliki kuwa ni mali yao! Kagame yeye anaruhusu wafugaji wa nchi yake kuingiza ng'ombe katika misitu ya hifadhi ya nchi yetu. kagame ameruhusu wanawake wa kinyarwanda waolewe na watanzania lakini kamwe wao na watoto wanaozaliwa hawaachi asili yao. Wanasoma katika nchi yetu wanakuwa viongozi tangu ngazi za vitongoji, wanawakaribisha ndugu zao toka Rwanda. Idadi yao inaongezeka na kuwa threat kwa usalama wa TZ, but the giant Tanzania is sleeping!


Mkitaka kujua Kagame na Mseveni lao ni moja na wako against Kikwete tafakari hili. Hivi karibuni baada ya serikali yetu kupitia Waziri Membe kutoa tamko dhidi ya wapiganaji wa M23 kwamba tutapeleka majeshi yetu DRC Kagame na Mseveni waligoma kuhudhuria hafra moja ya E
AC huko Arusha. walituma wawakilishi wao tu!

Our dear President Kikwete and TISS wake up and ACT now
! sisi tunaweza tukafa leo lakini tukawaachia matatizo watoto na wajukuu wetu kesho!

MKE WA KOLOMIJE NAYE SI ANATOKA RWANDA???????
 
nna sasa ni hatari zaidi maana sasa tunaona kwenye mitandao vita dhidi ya watutsi, na tunashuhudia vita huko mashariki ya DRC ambapo watutsi wanasemwa kuwa mstari wa mbele kutaka kupanua hima empire. mahisi kuchanganyikiwa
Forsure!! Mtandaoni kati ya issue kubwa zinazo trend hii pia ni moja wapo na ndio sababu ya mm kuutafuta huu uzi ili niyajue haya mambo japo kidogo, sasa mwisho wake cjui n nn tu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
namuunga mkono Mtikila asilimia 100 mf, cheki Idara za Serikali Police, magereza, Jwtz wakurugenzi kama aliyestaafu sengerema mwaka jana nenda SUA mwanza jiji, jamaa wa juzi aliyekuwa anatetewa na Mh, Kagasheki kule Bukoba Mh, Chagonja na na mkewe ambae kajipenyeza na na kuwaingiza jeshini ndugu wa mkewe ikapelekea kutaka kumfukuzisha jamaa mmoja wa uhamiaji kazi hadi akahamishiwa loliondo sababu alishindwa kumpatia mnyarwanda paspot shemeji ya chagonja. Juzi ng,ombe wa kinyarwanda wamekamatwa huko Ngara wakiharibu mazingira
acha chuki binafsi
 
Nimetembea Karagwe na baadhi ya sehemu tajwa, ni bayana makundi ya Ng'ombe aina ya Ankole wenye Pembe ndefu wanaharibu mazingira kwa kiasi kikubwa. Wanakotoka na nani anahusika hapo sijui mcjenitoa roho. Serikali ifanye utafiti wa kina kuokoa hali hiyo.
kaa kushoto na chuki zako mzewe nan kakuzuia kununua sema huna mifugo sio kutuongopea hapa kwendraaa
 
Back
Top Bottom