FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 92,872
- 109,182
mtikira kaongea ukweli aisee!. mia
= Mtikila
mtikira kaongea ukweli aisee!. mia
Lisemwalo lipo kama halipo laja, chunguza wauza kahawa wengi wanajiita waha, sio kabisa hata lafudhi inaonyesha, time will tell.
Ndiyo haya nawambia watanzania,kwanza wewe inaonekana ni murundi,mnyarwanda au mcongomani mwenye siasa kali dhidi ya watusi,hawa watu wataleta matatizo makubwa kwa tanzania na rwanda,kwani tulikua majirani wema kabisa,haya ya mtikila imeisha bainika kwamba hiyo article siyo yake niya muhutu mmoja mwenye siasa kali dhidi ya watusi,yeye mtikila alitumiwa na nahuyo muhutu,kwani mtikila mke wake ni muhutu wa burundi wote ni mamoja,sasa kwa sababu ya uloda anaopata toka kwa mkewake mtikila kaamua kua adui ya watusi,ni ajabu mchungaji mzima kuunga mkono unyanyasaji wa mwanadamu eti kisa amezaliwa mtusi,kwahilo mungu atamuuliza,kuhusu watanzania kushika madaraka rwanda,rwanda kuna wakenya,watanzania,waganda wenyenyazifa katika serikali na mashirika yake,huku niujuzi unao thaminiwa sio uraia,kama mtu anaweza kuleta change anapewa kazi,waulize walio fika rwanda watakueleza,muache kukaa jamvini na kuzusha mambo ya uchonganishi tu kisa humtaki mtusi,pole sana utakufa kwa shinikizo la damu ndugu yangu usipo punguza hasira.
Hapa ndipo pa kuanzia SasaMtikila amesambaza Waraka unaomtuhumu Kagame Kusambaza Wanyaranda 35,000 katika Tz na ameitaka serikali kuchukua hatua!!!
Ni jambo la Kushangaza Gvt inatumia Nguvu nyingi kulinda mpaka wa Malawi na Tanzania lakini Wamemwacha Kagame na Mseveni wakipenyeza Wanyarwanda 35,000 na wamehesabiwa katika sensa huku wakiendelea kuwatesa Raia!
Ni Ujinga mkubwa kuona kwamba Wanyarwanda wengi wameshaghushi Vyeti vya uraia na wengine wameanzisha makanisa kama alivyo Askofu Mulileghe Mkombo Kutoka DRC lakini Serikali badala ya kushughulika na Watu hao , inageuka na kuwatesa viongozi wa dini wanao pinga ufisadi ndani CCM na kuwakumbatia watu kama Mkombo ati kwa sababu anaombea viongozi wa Kitaifa!!!
Suala la kujiuliza ni Watanzania wangapi wanaweza kwenda Rwanda na kushika madaraka ra Serikali ya Rwanda na kuingiza mifugo huku wakitukana serikali ya Kagame???
Kama Wahutu wenye uraia wa Rwanda wamenyongwa kwa kuanzisha vyama vya upinzani sembuse Watanzania kuishi Rwanda???
Serikali itazame jambo hili kwa makini ikifikia Kagame na Joyce Banda wakaungana tunaweza kupata matatizo Makubwa!!!
Soma Waraka Wake Hapa:
Mbona hata DAB
uliza, vijana wa kagame ni wengi humu, watakujibuDuh! Mambo mazito haya ila nina maswali mengi sana ya kuuliza juu ya hili kama nikipata mjubuji ingekua poa sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahah!!uliza, vijana wa kagame ni wengi humu, watakujibu
labda aliwapenda tu-joking: but nasikia hata ushindi wa Kabila (sr) ulikuwa facilitated na NyerereHahah!!
Kwamujibu wa main post hapo, nilitaka kujua Nyerere alifanya yote hayo kwa Watusi ili iweje au anauhusiano gani nao?
Sent using Jamii Forums mobile app