Mtikila: CCM inafanya mafunzo ya wizi wa kura Afrika Mashariki

Mwamakula

JF-Expert Member
Nov 7, 2010
1,891
382
Taarifa kutoka nairobi kenya zinaeleza kuwa nkutano wa siasa uliohusisha wenyeviti na makatibu wa vyama afrika mashariki umeisha huku mtikila akichafua hali ya hewa.

Mtikila(0713 435016) alipinga east afrikani federation kwa sababu zifuatazo
1. Umoja huo si kwa maslahi ya wananchi bali viongozi pekee yao
2. Hakuna demokrasia katika chaguzi kwani ccm ya tanzania ndiyo imekuwa ikifundisha wizi wa kura ,katika chaguzi za kenya, zimbabwe,uganda,malawi,n.k
3. Wakenya wanataka muungano huo kwa kuwa wanataka ardhi ya watanzania na si muungano
4 .museveni ni rais dikiteta ambaye hataki upinzani hivyo hatuwezi kuungana na wauaji
5. Rwanda ni wauaji na wamemwaga damu hivyo ni hatari.
6. Serikali ya kenya wanaua wapinzani na mtu yoyote akitaka kuipinga serikali anauawa.
7. Ccm tanzania ina lindwa na vyombo vya dola na kuchakachua matokeo kuwalinda wagombea wa ccm
8. Tume ya uchaguzi tanzania haiko huru kwa kuwa wakuu wa wilaya, wakurungezi , wakuu wa mikoa wanahujumu upinzani
 
Ktk Mkutano huo baadhi ya vyama havikuwepo , na ulieunguliwa na Raila Odinga
 
Bora federation lije, tutapata nafasi ya kutanua hadi kampala..

Ardhi ardhi yote ni Mungu kila mtu ana haki ya kuitumia..let them use..mipori yote ..ya nini?
 
Taarifa kutoka nairobi kenya zinaeleza kuwa nkutano wa siasa uliohusisha wenyeviti na makatibu wa vyama afrika mashariki umeisha huku mtikila akichafua hali ya hewa.

Mtikila(0713 435016) alipinga east afrikani federation kwa sababu zifuatazo
1. Umoja huo si kwa maslahi ya wananchi bali viongozi pekee yao
2. Hakuna demokrasia katika chaguzi kwani ccm ya tanzania ndiyo imekuwa ikifundisha wizi wa kura ,katika chaguzi za kenya, zimbabwe,uganda,malawi,n.k
3. Wakenya wanataka muungano huo kwa kuwa wanataka ardhi ya watanzania na si muungano
4 .museveni ni rais dikiteta ambaye hataki upinzani hivyo hatuwezi kuungana na wauaji
5. Rwanda ni wauaji na wamemwaga damu hivyo ni hatari.
6. Serikali ya kenya wanaua wapinzani na mtu yoyote akitaka kuipinga serikali anauawa.
7. Ccm tanzania ina lindwa na vyombo vya dola na kuchakachua matokeo kuwalinda wagombea wa ccm
8. Tume ya uchaguzi tanzania haiko huru kwa kuwa wakuu wa wilaya, wakurungezi , wakuu wa mikoa wanahujumu upinzani
Naunga mkono mia kwa mia hasa no. 7 na 8.
 
Mtikila kwa hili namuunga mkono, tz ccm bado wanatusumbua kwa mbinu zao za wizi halafu leo tukajitanue zaidi hayo mapambano tutayaweza?
 
Taarifa kutoka nairobi kenya zinaeleza kuwa nkutano wa siasa uliohusisha wenyeviti na makatibu wa vyama afrika mashariki umeisha huku mtikila akichafua hali ya hewa.

Mtikila(0713 435016) alipinga east afrikani federation kwa sababu zifuatazo
1. Umoja huo si kwa maslahi ya wananchi bali viongozi pekee yao
2. Hakuna demokrasia katika chaguzi kwani ccm ya tanzania ndiyo imekuwa ikifundisha wizi wa kura ,katika chaguzi za kenya, zimbabwe,uganda,malawi,n.k
3. Wakenya wanataka muungano huo kwa kuwa wanataka ardhi ya watanzania na si muungano
4 .museveni ni rais dikiteta ambaye hataki upinzani hivyo hatuwezi kuungana na wauaji
5. Rwanda ni wauaji na wamemwaga damu hivyo ni hatari.
6. Serikali ya kenya wanaua wapinzani na mtu yoyote akitaka kuipinga serikali anauawa.
7. Ccm tanzania ina lindwa na vyombo vya dola na kuchakachua matokeo kuwalinda wagombea wa ccm
8. Tume ya uchaguzi tanzania haiko huru kwa kuwa wakuu wa wilaya, wakurungezi , wakuu wa mikoa wanahujumu upinzani

Sijaelewa maana ya ku-attach pdf file titled "fisadi" kwenye thread yako tafadhali. Otheriwse Mtikila naona kaamua kuweka wazi kila kitu juu ya ufisadi TZ na uovu uliokithiri East Africa Federation tarajiwa. Ngoja tusikie wanaopenda kumpeleka mahakamani sasa!
 
Hizo hoja mtikila hazina mpinzani, pia lengo la kufikisha ujumbe limefikiwa "MSG sent"
 
Achana naye huyo, namjua jina lake halisi anaitwa Odhiambo Wanjiru Kiplagat. kuna mtanzania anaitwa hivyo?

huyo ni mtanganyika aliyejitolea kuwa kijakazi wa magamba. Hapa anajaribu kukamilisha siku maana bado masaa machache kabla nape hajapita kukagua kazi za vijakazi wake.
 
Watanganyika wote tungekuwa kama cha-DEMU nchi ingelaaniwa...

Vipi mgawo kutoka mwanajumuia Slaa umepata?
 
Alicho sema Mtikila ndiyo ukweli wenyewe .Huwezi kuwa Federation wkati kila Nchi ina mashida makubwa na uvunjifu wa haki za binadamu ikiwamo Tanzania no way .
 
Yeah! Rev. Mtikila is right. tatizo wengi wanamuona kama mwehu hivi hawawezi tilia maanani points zake lkn ukweli zimegusa sana!
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom