Mtikila Aombwa na Wabunge Kukaa Pembeni!

Kikao cha bajeti kinakuja na yote yatatoka hapo, lakini Kiwira ndio the top agenda, in fact the dataz ni kwamba wabunge sasa hivi wanajiatayarisha kuwachangisha wananchi shillingi millioni 70 ili kuwarudishia mkapa na wenzake na kurudisha mradi kwa wanachi, huwa hatukurupuki na dataz hata siku moja! Again huwa hatuzitoi kwenye magazeti in fact huwa tunawemegea magazeti, lakini hatuzitoi dataz magazetini na kuleta hapa JF, hizo dataz ni batili,

Kwa mfano sasa hivi tuko on top ya dataz mpya za watu fulani bongo kujaribu kumtayarisha kijana mmoja kuchukua nafasi ya muungwana, tena ikibidi 2010, wakishindwa basi ujue 2015 ndiye atakayechukua maaana ni wakali sana itabidi tu muungwana a-make compromise na kumpa angalau-pm when the times come, akiwa anajitayarisha na urais, kuna vijana waliokwisha ombwa kujitayarisha kuwemo kwenye huo utarajiwa, tena wengine toka hapa JF,

Kwa hiyo mkuu dataz hatujawahi kuishiwa wala kukurupuka nazo, na tunaweza ku-turn this JF upside down na dataz, lakini ni vyema kukawepo na mijadala muhimu ya taifa, huku tuki-balance na dataz!

Ahsante mkuu!
 
Mkuu heshima yako. Hili la kuwachangisha wananchi shilingi 70 millioni ili kumrudishia fisadi Mkapa 'pesa yake' kama ni kweli basi itakuwa ni upumbavu wa hali ya juu. Kwa nini jambazi aliyetuibia Watanzania kwa kutumia wadhifa wake na kujimilikisha mali yetu yenye thamani ya shilingi bilioni nne kwa kulipa shilingi milioni 70 tu arudhishiwe pesa yake!? si ajabu pesa yenyewe pia aliipata kwa njia za haramu. Je, watakuwa tayari kumdai fisadi Mkapa pesa alizolipwa na TANESCO ambazo ni shilingi 146 milioni kwa siku tangu alipoanza kupokea malipo hayo kama owner wa KPC hadi leo? Je, watakuwa tayari kumtoza na riba ya mabilioni hayo aliyojipatia kwa njia ya haramu!?

Kwa maoni yangu Watanzania hatupaswi kumrudishia fisadi Mkapa hata senti moja, yeye ndiye anayestahili kuturudishia mapesa yetu aliyolipwa na TANESCO na ashinikizwe ili ayarudishe haraka iwezekanavyo.
 
Huwa nina tatizo la kupenda na kumwamini mtu.Bora nijiseme mapema,LAKINI HEBU JIULIZE ITAKAVYO SOUND MASIKIONI MWA WATU KUWA RAIS MSTAAFU WA TANZANIA AMEFIKISHWA MAHAKAMANI.Nope,mimi simo iila kwa hili Mkapa wanataka kkumdhalilisha tuu.Mkapa alikuwa imara sana wakati wa utawala wake na aliongoza nchi hii kwa sheria na taratibu,"Vimwanahabari" mchwara vinavyoshindia njaa na kupoteza wananchi hadi sasa kwa kupindisha habari vikamchukia kwani alikuwa haingiliki.Hivyo ndo vinamwandama sasa kwani vimepata sehemu ya kuanzia.Mwinyi kafanya OVYO mangapi,Nyerere alifanya ovyo mangapi?mbona hamkuwashtaki?????

Mtikila mimi kwangu unapungua sana kama utaenda mhakamani kwa issue hiyo.mimi nakubaliana na wewe kwa move zako ila kwa hili nakupa sufuri.
 
Mkulu naona na wewe umeingia kwenye payroll ya mkapa, yaani yote yanayotokea bado unamlaumu mwanahalisi, yeye kiwira wenyewe wamekiri kisheria mkapa bado ni mmiliki wa kiwira lakini wewe bado unamtetea uoni kuwa members wanaweza kujiuliza kama kweli wewe haupo hapa kwa ajiri ya mkapa?

Kuna data za kutosha kuonyesha kuwa hakuna hata sheria aliyofuata mkapa labda nikuulize swali moja wakati anajiuzia kiwira alifuata sheria ya manunuzi ya umma inayosimamiwa na PPRA na tayari ilikuwa inafanya kazi? tuwe wakeli badala ya kufuata sentiment zetu kwa kuwatete wenye masirahi na nchi yetu.

Je sheria ilimruhusu kuanzisha ANNABEN akiwa ikulu? Je shamba la mtibwa alilipata bila kunyanyasa wananchi? mkuu hayo ni baadhi yaliyo hainishwa tayari na mengine yatajitokeza kwa kadri atakavyoendelea kujitetea nje ya taratibu.
 
...TANZANIA TUNAYOITAKA SASA KAMA ZAMBIA YA ZAMANI KIDOGO...
 
jamani hivi huyu mama anayeitwa MAMA SIMBA hiki cheo amepewa kwa sababu gani maana naona tangu ameshika wadhfa huu kazi yake ni kuwatetea hawa wezi wetu hivi wana jf kuna mtu anayemjua kwa undani mama huyu ili tuone kama hiki cheo kilikuwa ni halali yake?
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom