Mtikila anafata nini Igunga?

rosemarie

JF-Expert Member
Mar 22, 2011
6,887
3,412
Huyu Mkuu Christopher Mtikila yuko njiani kuelekea Igunga,huyu mwanasiasa anajulikana kwa siasa zake za "kupiga" au deal,taarifa zinasema ccm wamemkodi ili aharibu mbio za chadema
wakuu mlioko igunga tunaombeni taarifa kama ni kweli
 
Safari hii watampiga zaidi ya alivokung'utwa Tarime, mtu mmoja ameniambia mwamko wa Igunga watu kutaka mabadiliko ni mkubwa sana. seems like hawatataka kiwingu, lets wait and see anautumia uhuru wake(free movement) kivipi
 
images

AMESAHAU TARIME?
 
Kwa huyu Jamaa aka(Mchungaji) mi sishangai when it comes to money, all the dignity goes down the drain.
 
huyu bwana sishangai mana akili yake sio nzuri,nadhani ashawahi run mental disorder so bado hajarecover
 
Yule jamaa yule anaproblem kwelikweli!!
Akiona hela anaweza hata akamtoa mkewe yule.
Labda kaenda na mamsapu, si unajua Nhemba yupo Igunga??!!!
 
Wenyewe wanasiasa wenzake awe gamba au upnzan wanamjua huyo jamaa atabiriki huwezi panga nae mission.
 
Huyu Mkuu Christopher Mtikila yuko njiani kuelekea Igunga,huyu mwanasiasa anajulikana kwa siasa zake za "kupiga" au deal,taarifa zinasema ccm wamemkodi ili aharibu mbio za chadema
wakuu mlioko igunga tunaombeni taarifa kama ni kweli
HUO NDIO UKWELI WENYEWE ccm WAMEBANWA KILA KONA NA WANATUMIA KILA MBINU KUTAFUTA KUPUMUA KUPOTEZA JIMBO LA IGUNGA NI KABURI LA CHAMA TAWAL MUNGU IBARIKI TANZANIA NA CHADEMA.
 
Mtikila ni mwanasiasa atakayekumbukwa kwa kuendekeza njaa kuliko mwanasaiasa yoyote Tanzania. Hata anavyoendelea kufanya siasa huwa nashindwa kuelewa anapata wapi hiyo courage! hana maadili ya kufanya siasa wala kusikilizwa hata na waandishi wa habari.
 
Back
Top Bottom