Mtikila amfungulia Mch. Getrude Rwakare kesi 69/2011 high court

Mwamakula

JF-Expert Member
Nov 7, 2010
1,890
382
Civil case no 69/2011 Mtikila vs Getrude Rwakatare imefunguliwa mahakama kuu.

Mtikila anadai amechafuliwa na Rwakatare kupitia gazeti la majira na anataka fidia ya 3bils.

Kesi hiyo imetajwa juzi na ipo kwa Jaji Dr. Fauz Twaibu Mahakama Dsm. Itatajwa tena 26/07/2011.
 
Huyu mzee kwa kesi ni noma vp Kama akikukamata na mtoto wake kuwa umemjaza mimba lazima akufunge mpaka uje utoke soda moja itakuwa inauzwa kaki
 
Civil case no 69/2011 Mtikila vs Getrude Rwakatare imefunguliwa mahakama kuu.

Mtikila anadai amechafuliwa na Rwakatare kupitia gazeti la majira na anataka fidia ya 3bils.

Kesi hiyo imetajwa juzi na ipo kwa Jaji Dr. Fauz Twaibu Mahakama Dsm. Itatajwa tena 26/07/2011.
Mhhh jamani haya mambo yamekaaje?? Ni juzi tu hapa tumesikiliza clip ya Mchungaji Rwakatare, Mtikila na Jamaa mmoja wakiwa home kwa mama Rwakatare wakipanga dill la ku-doo Askofu Kakobe, sasa iweje tena Mtikila anamshtaki Rwakatare??? Au lile lilikuwa ni dili la kumzamisha Mama Rwakatare bila yeye kujijua???? Ama kweli naamini ya wazeee kuwa usijijengee maadui wengi utashindwa jua mbaya wako hasa ni nani. Pole Mama Rwakatare, huyo ndio Mtikila, hana muamana na mtu, hapo anatengeneza noti kwa mama Rwakatare na kwa Askofu Kakobe!!!
 
Hivi hilo gazeti la Majira liliandika nini kuhusu Mtikila? Si juzi tu tuliwekewa clip hapa ya Mtikila na Mama rwakatare wakipanga kummaliza Kakobe? Kuna uhusiano wowote wa haya mambo mawili?
 
embu tupe link ya hilo. mtikila kachafuliwaje jina. kweli mtikila misheni town. kiboko yake kakobe. lets see the game.
 
Kama Wachungaji kwa Wachungaji wameshindwa kukaa meza moja kuelewana sisi Kondoo huku mitaani si ndio tutatoana Roho!!
 
Mipango wa kumumaliza kakobe uliandaliwa na mch rwakatare na ngeleja wote kutoka ccm.
Mkakati ilikuwa mch dez patrick aliyeasi kanisa la kakobe atumike kufanya kazi hiyo.

Mch patrick hakuwa na nguvu ya kufanya hivyo na hivyo kundi la ccm wakamshirikisha mtikila.
Mtikila akawa anadai pesa za kazi hiyo zaidi ya 100mil

rwakatare kwa kuwa alishambuliwa sana na gazeti la kiu akawa wa kwaza kutoa 1,000,000/= kutoka crdb tawi la kijiti nyama siku ya ijumaa tarehe 10 dec 2010 , ambapo mtikila alipewa tsh 600,000/= tu na hakuridhika.

Mtikila alianza kumshutumu , ngeleja na rwakatare kwa kumutumia bila malipo.

Mgogoro huo ndio uliosababisha mtikila kufuatilia tuhuma za madawa ya kulevya za mchu rwakatare na kuzitoa kwenye gazeti la ijumaa weekend.

Baada ya hapo mtikila alianza kuandika kitabu chenye jina 'ujambazi wa rwakatare na madawa ya kulevya"

mch patrick alivujisha siri hiyo na kumupelekea rwakatare na rwakatare akapeleka taarifa osterbay polisi kutaka mtikila akamatwe!!!

Mtikila aliwagomea polisi na kukimbilia mahakamani kufungua kesi!!

Gazeti la majira liliandika mgogoro huo na kuandika habari hiyo na bw rwechu ngura wa majira.
 
Mch patrick askali wa jwtz aliyefukuzwa kwa makosa ya nidhamu.
Yupo karibu na ukoo wa gen msuguli
 
Huyu mzee kwa kesi ni noma vp Kama akikukamata na mtoto wake kuwa umemjaza mimba lazima akufunge mpaka uje utoke soda moja itakuwa inauzwa kaki
Soda itakuwa inaunzwa KAKI???
 
I am completely confused,hapa juzi kulikuwa na Youtube ambayo ilisikika Mtikila na Rwakatale wanapanga mipango ya kumchafua kakobe,leo tena si marafiki,I am puzzled what is going on!!
 
huyu jaji fauz twaibu c ndio aliyemuhukumu yule mwasia kifungo cha kunyongwa? mama rwakatare kazi kwako!!!
 
Back
Top Bottom