Mtikila akitelemka kwenye bajaji kwenda kuzungumza na waandishi wa habari kuhusu Dr. Ulimboka | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mtikila akitelemka kwenye bajaji kwenda kuzungumza na waandishi wa habari kuhusu Dr. Ulimboka

Discussion in 'Jamii Photos' started by Nikupateje, Jul 3, 2012.

 1. N

  Nikupateje JF-Expert Member

  #1
  Jul 3, 2012
  Joined: Dec 22, 2009
  Messages: 1,314
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Mtikila.jpg

  MEDIA: MWANANCHI
  date: Mon. July 02, 2012
  page: 03
   
 2. BornTown

  BornTown JF-Expert Member

  #2
  Jul 3, 2012
  Joined: May 7, 2008
  Messages: 1,716
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Nao ni usafiri unamtosha
   
 3. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #3
  Jul 3, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Akiteremka, rekebisha wewe, Kiswahili ni lugha yako ya Taifa.
   
 4. Kaizer

  Kaizer JF-Expert Member

  #4
  Jul 3, 2012
  Joined: Sep 16, 2008
  Messages: 24,646
  Likes Received: 1,470
  Trophy Points: 280
  safi kabisa "saa ya ukombozi ni sasa"

  Hivi hana kesi kweli huyu mahakamani sijamsikia muda mrefu
   
 5. K

  Kakalende JF-Expert Member

  #5
  Jul 3, 2012
  Joined: Dec 1, 2006
  Messages: 3,259
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 135
  Mashujaa waliosahaulika!
   
 6. j

  jere100 Member

  #6
  Jul 3, 2012
  Joined: May 29, 2012
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mzalendo wa ukweli
   
 7. N

  Njoka Ereguu JF-Expert Member

  #7
  Jul 3, 2012
  Joined: Apr 7, 2012
  Messages: 822
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 35
  Ni uzalendo, i hope hata akipewa ukuu wa Wilaya ataendelea kutumia usafir huo huo.
   
 8. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #8
  Jul 3, 2012
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  huyu ana makasheshe sana..kaaa yaani huyu ndo anakuwa baba mkwe unaenda kuoa binti yake mbon autajuta
   
 9. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #9
  Jul 3, 2012
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  hahaaa wewe sikupendi lakini kwa hii nimekugongea LIKE...teeeh
   
 10. N

  Nikupateje JF-Expert Member

  #10
  Jul 3, 2012
  Joined: Dec 22, 2009
  Messages: 1,314
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160

  Kisweahili ni luga ya teifa gani? Je, unejuaje kua mimi ni mtu teifa gan? Ninaadika post hii nikiw nimekanyag ardh ya teifa gani? jE, umshindwa kbisa kuelew nlichoandka apa?
   
 11. N

  Nikupateje JF-Expert Member

  #11
  Jul 3, 2012
  Joined: Dec 22, 2009
  Messages: 1,314
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Ni wewe tu hufuatilii. Yuko muelekeo wa East Africa court kudai Serikali ya Tanganyika ndani ya Muungano.
   
 12. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #12
  Jul 3, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Andika vizuri sikuelewi, kama hujui Kiswahili tumia "google translate" au weka lugha unayoijuwa wewe vizuri, usituharibie lugha yetu tamu.
   
 13. MtamaMchungu

  MtamaMchungu JF-Expert Member

  #13
  Jul 3, 2012
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 3,695
  Likes Received: 507
  Trophy Points: 280
  Mhmhmh
   
 14. Gwangambo

  Gwangambo JF-Expert Member

  #14
  Jul 3, 2012
  Joined: Jun 30, 2012
  Messages: 3,655
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 145
  Naona watu mnaleta swaga za jukwaa la lugha hapa. pLz go to the right jukwaa! Mnatuchosha kusoma hizo swaga zenu,tuko bize.
   
 15. mhalisi

  mhalisi JF-Expert Member

  #15
  Jul 3, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 1,181
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 0
  Mtikila hajikwezi.
   
 16. S

  Sinag Man Member

  #16
  Jul 3, 2012
  Joined: Mar 15, 2010
  Messages: 77
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Vyama sasa vimepata sera za kuzungumza.
   
Loading...