Mtihani wa maarifa ya dunia: | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mtihani wa maarifa ya dunia:

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by MziziMkavu, Oct 5, 2009.

 1. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #1
  Oct 5, 2009
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,615
  Trophy Points: 280
  Instructions: - Muda: 10 Seconds.

  Majibu mpe mwenzako.  1. Kama hela haioti kwenye miti, kwanini bank zina matawi?  2. Kwanini gundi haigandi kwenye chupa yake?  3. Kama tunatakiwa tusi-drive wakati tumekunywa, kwanini bar kuna parking?  4. Kama neno ‘abbreviation’ linamaanisha ufupisho, kwanini lenyewe ni refu hivyo?  5. Kama tunatakiwa kufanya sex ndani ya ndoa tu, kwanini tunabalehe kabla ya kufunga ndoa?  BEST WISHERS
   
 2. u

  uporoto01 JF-Expert Member

  #2
  Oct 5, 2009
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 4,741
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Tunatakiwa tusi-drive tukilewa ili tusimwage kinywaji katika mitingishiko ya uendeshaji.
   
 3. Tripo9

  Tripo9 JF-Expert Member

  #3
  Oct 5, 2009
  Joined: Sep 9, 2009
  Messages: 2,169
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Basi kama chai ni mchanganyiko wa maji ya moto, sukari na majani, kwa nini wa2 2siokoe muda kwa kunywa maji ya moto kivyake, kumumunya sukari kivyake na kulamba majani vyote hivyo vikachanganyikie 2mboni na lengo le2 la kunywa chai liwe limetimia.
   
 4. tgeofrey

  tgeofrey JF-Expert Member

  #4
  Oct 5, 2009
  Joined: Jan 29, 2008
  Messages: 526
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  1)branches are not necessarly for trees ony
  2)this is due to adhehesion and cohesion forces( surface tensions)
  3)not every body is assumed to be drunk and drive at the bar
  4)u can abreviate it to just make sure it will be defined somewher like abrvt
  5) i am not sure if you can be given a lisence while you dont know to drive
   
 5. tgeofrey

  tgeofrey JF-Expert Member

  #5
  Oct 5, 2009
  Joined: Jan 29, 2008
  Messages: 526
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hii inafanana na yule masai aliyesahau kutingisha chupa ya dawa kabla ya kumnywesha mtoto
   
 6. m

  mdau2009 Member

  #6
  Oct 5, 2009
  Joined: Sep 9, 2009
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  5) i am not sure if you can be given a lisence while you dont know to drive[/QUOTE]


  it's true!
   
 7. Che Kalizozele

  Che Kalizozele JF-Expert Member

  #7
  Oct 5, 2009
  Joined: Jul 20, 2008
  Messages: 778
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0

  it's true![/QUOTE]

  Na kwa kuwa hauwezi kupewa lisence bila ya kufanyiwa majaribio kama kweli unajua kuendesha,mafunzo na majaribio kabla ya ndoa ruksa.
   
 8. Mbimbinho

  Mbimbinho JF-Expert Member

  #8
  Oct 5, 2009
  Joined: Aug 1, 2009
  Messages: 6,027
  Likes Received: 2,867
  Trophy Points: 280
  Mr Bean keshajaribu, muulize))
   
Loading...