Mtihani wa kwanza kwa Judge Lubuva,rafu hizi je ataweza? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mtihani wa kwanza kwa Judge Lubuva,rafu hizi je ataweza?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Inkoskaz, Mar 14, 2012.

 1. Inkoskaz

  Inkoskaz JF-Expert Member

  #1
  Mar 14, 2012
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 6,319
  Likes Received: 439
  Trophy Points: 180
  Mwenyekiti mpya wa NEC anakutana na mtihani wa kwanza ktk uchaguzi wakati chama tawala kinachotegemea chakachua kikiwa hohehae
  Ni kipimo cha uelekeo wa T2015...
  Je atalipa fadhila au atakubali ngumi kama yule refa wa Yanga na Azam?
  Tendwa naye tutamsikia atasemaje juu ya matusi ya BWM kama ni fair kwa campaign
  Je atawwza kuendesha gari lililochafuka namagrisi na oil pasi kuchafua joho lake?
   
 2. WA-UKENYENGE

  WA-UKENYENGE JF-Expert Member

  #2
  Mar 14, 2012
  Joined: Oct 1, 2011
  Messages: 2,904
  Likes Received: 227
  Trophy Points: 160
  Lubuva yuko kwa malengo maalumu! tena JK kamteua kwa kulazimishwa na kundi fulani, tusubiri tuone!!
   
 3. Inkoskaz

  Inkoskaz JF-Expert Member

  #3
  Mar 14, 2012
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 6,319
  Likes Received: 439
  Trophy Points: 180
  UKENYENGE
  unamaanisha yale maneno ya ushemeji na Richmond yanacount hapo!
   
 4. Inkoskaz

  Inkoskaz JF-Expert Member

  #4
  Apr 2, 2012
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 6,319
  Likes Received: 439
  Trophy Points: 180
  At least malalamiko machache
   
Loading...