Mtihani wa kupita eneo hili wanaujua Dada zetu!

Ngareroo

JF-Expert Member
Aug 11, 2019
2,049
2,249
Sister zetu huwa wanapata tabu kinyama kusololoa fyade kaa izi.
a.jpg

@NgarenaroBoy.
 
hahahah.. ila huu umati ukijaa dukani utakua huuzi kitu. utaskia wanaambiana "duka lile mi siendagi mijanaume imejazana pale utafkiri nini."
Hehe Mangi wanakuharibia Biashara asee hawa wajuba maana wateja watakua ni Wanaume tu!
 
Nadhani hivi imebaki sehemu chache sana! Zamani wanawake walikuwa wanaogopa hata kupishana na msafara wa msiba wa waislam! Siku hz hali ni tofauti kabisa!
 
Confidence za kukatiza hapa bado sinazo
Lazima nijikwae ila jamani kukatisha mbele za watu ni mtihani... Mie bhana hata kwa wanawake wenzangu sikatishi nitatafuta kichochoro tu
 
Nadhani hivi imebaki sehemu chache sana! Zamani wanawake walikuwa wanaogopa hata kupishana na msafara wa msiba wa waislam! Siku hz hali ni tofauti kabisa!
Msiba wa waislamu upoje mkuu
 
Back
Top Bottom