mtihani wa kiswahili

Saulloson

Senior Member
May 25, 2012
103
35
jamani msaada wenu kwenye maswali haya1)kwanini wamahiri wa lugha zaidi ya moja umahiri wao hauendi sambamba?2)jadili nafasi ya misimu ktk kiswahili sanifu?3)eleza uamilifu wa viambishi ktk vitenzi?
 
Ni vyema uelewe MMAHIRI huyo amebobea zaidi ktk lugha ipi.Kama ni ya 1 basi utumizi wake wa lugha utaegema upande wa lugha ya kwanza.sababu kuu ni lafudhi egemezi.mf.kudhini badala ya kusini.kwa maneno mengine mtumiaji wa lugha huegemea zaidi upande ule ambako huitumia kwa muda mrefu.mf.KAZINI(Eng.8to 9hrs)
 
nyumbani(kisw.2hrs.Nitakapokuwa maeneo mengine km.bar,kituo cha basi.nk)ntajikuta natumia ile lugha yenye uhitaji wa muda.
 
nafasi ya misimu katka kiswahili sanifu
a. kuongeza msamiati
b. kuficha siri mf. kwa wazungumzaji wawili
c.hutambulsha kundi la watu kijiografia

viambishi
a. kuonesha nafsi mbali mbali
b. kuonesha umoja na wingi
c. kuonesha ngeli katika sentensi
d. kuonesha wakati/njeo
e.kuoneha kauli mbali mbali za vitenzi n.k
 
Back
Top Bottom