mtihani wa kiswahili kidato cha nne 2011

Wizzo

JF-Expert Member
Nov 28, 2010
723
255
isee jamaa waliotunga mtihani wa kiswahl mwaka ni noma,mtihani ni mgumu haufanyiki,kiswahil kimekua kigumu zaidi ya math..jamani mmeamua kuwakomesha hawa watoto wasisome zaidi.it was not fair for them
 
hii kitu nimesikia toka kwa mdogo wangu,yaani kiswahili ni zaid ya hesabu,tanzania siwawezi.
 
Ji2 lilikua halisomi,kutwa lnashind fb afu linakuja kusngzia mtian mgumu.
 
Senetor badilisha huu mtazamo wako ya kwamba elimu ni kutesana.

Maswala ya kuteswa UDSM yasikufanye tukuone unafikiria kama wazee wanaokutesa hapo UDSM.

Vijana wasomo ni lazima tuchukue hatua za madhubuti kuikomboa elimu yetu ya kutesana.

Nchi zatu{ambazo elimu yake iko juu kuliko Tz na hiyo UDSM }wanarithishana elimu kwa upendo na si kwa ghadhabu eti wasomi wasiwe wengi wakawapiku,mawazo ya kizamani hayo,unaweza kutenga muda wa recreation na wa kusoma.
 
isee jamaa waliotunga mtihani wa kiswahl mwaka ni noma,mtihani ni mgumu haufanyiki,kiswahil kimekua kigumu zaidi ya math..jamani mmeamua kuwakomesha hawa watoto wasisome zaidi.it was not fair for them

unapenda holoholo sio?
pole sana. tunapima uelewa na siyo kukariri na mazoea ya kufanya mitihani. wakati wewe unalalamika, kuna wengine watatoka na A tena zilizonona.

kama kijana wako hakujiandaa, usianze kuwalaumu NECTA
 
Sio kutesana, ni kulindiana heshima.
Hakuna kilichotungwa ambacho kiko nje ya mtaala wao. tusubiri matokeo. waliokuwa wanaenda shule kusoma tutawaona na waliokuwa wanaenda ili kusogeza siku tutawaona.
Usitetee ujinga ndugu
 
najisikia vibaya ! Mtoto wangu kalalamika sana, mie nikamponda !
 
isee jamaa waliotunga mtihani wa kiswahl mwaka ni noma,mtihani ni mgumu haufanyiki,kiswahil kimekua kigumu zaidi ya math..jamani mmeamua kuwakomesha hawa watoto wasisome zaidi.it was not fair for them

aliyekuambia maths inatakiwa kuwa ngumu kuliko kiswahli ni nani? Acha ufinyu wa mawazo, na hakuna swali gumu duniani.
 
unapenda holoholo sio?
pole sana. tunapima uelewa na siyo kukariri na mazoea ya kufanya mitihani. wakati wewe unalalamika, kuna wengine watatoka na A tena zilizonona.

kama kijana wako hakujiandaa, usianze kuwalaumu NECTA

mzee kumbe uko necta!
 
HAKUNA MTIHANI MGUMU WATOTO SIKU HIZI HAMSOMI!!!HIYO MNAYOSEMA MIGUMU MATOKEO YAKITOKA KUNA WENGINE WAMEPATA A's ZOTE..SASA UGUMU UKO WAPI!!!!!!!!!!!!!!!!
 
isee jamaa waliotunga mtihani wa kiswahl mwaka ni noma,mtihani ni mgumu haufanyiki,kiswahil kimekua kigumu zaidi ya math..jamani mmeamua kuwakomesha hawa watoto wasisome zaidi.it was not fair for them

we vipi? mnapenda tu mteremko he!
 
ok,tuache maneno ngoja matokeo yatoke utaona penati za kiswahili ndipo utapojua ninachokisema...ile pepa ilikua haijibiki kwa mujibu wa watahiniwa we
ngi mikoa ya tz
 
Tatizo wa2 wamekariri kua kiswahili somo jepesi kumbe kila somo na uzito wake. Big up necta.
 
Sio kutesana, ni kulindiana heshima.
Hakuna kilichotungwa ambacho kiko nje ya mtaala wao. tusubiri matokeo. waliokuwa wanaenda shule kusoma tutawaona na waliokuwa wanaenda ili kusogeza siku tutawaona.
Usitetee ujinga ndugu

Mwambie coz naona anauelewa wa negative.
 
Senetor badilisha huu mtazamo wako ya kwamba elimu ni kutesana.

Maswala ya kuteswa UDSM yasikufanye tukuone unafikiria kama wazee wanaokutesa hapo UDSM.

Vijana wasomo ni lazima tuchukue hatua za madhubuti kuikomboa elimu yetu ya kutesana.

Nchi zatu{ambazo elimu yake iko juu kuliko Tz na hiyo UDSM }wanarithishana elimu kwa upendo na si kwa ghadhabu eti wasomi wasiwe wengi wakawapiku,mawazo ya kizamani hayo,unaweza kutenga muda wa recreation na wa kusoma.
Hivi kuna shule ngumu kama ya undergraduate SUA?
Au siku hizi za semister system mambo yamekuwa mepesi.
 
Back
Top Bottom