Mtihani wa kidato cha pili warudishwa

ERIC JOSEPH

JF-Expert Member
Aug 10, 2011
567
55
Wazili wa elimu ametanza kuuludisha tena mtihani wa kidato cha pili kama kipimo cha wanafunzi.
 
Itapunguza masifuri kidato cha nne maana itapita cream tu! Masifuri ya mwaka jana yalisababishwa na siasa katika elimu.
 
Wazili wa elimu ametanza kuuludisha tena mtihani wa kidato cha pili kama kipimo cha wanafunzi.




jamani naomba tusibake lugha, umerudishwa au kuurudisha na si kama mwandishi ulivyoandika. aibu jamani
 
mweeeeeeeeeeee! jamani mbona ndugu yangu ntamsomesha miaka mitano! maana ni kilaza kweli, mwe mwe mwe mweeeeeeeeeeeee!
 
Fanya sita kabisa....kwa hali iliyopo sasa kwenye hizi st. Kayumba ni balaa!
Kuna wanafunzi 40, wasichana kwenye shule moja hapo rufiji tulikuwa tunawa-suport kila kitu, kuanzia ada mpaka pocket money. Walipata 0 wote form four.
mweeeeeeeeeeee! jamani mbona ndugu yangu ntamsomesha miaka mitano! maana ni kilaza kweli, mwe mwe mwe mweeeeeeeeeeeee!
 
Kuurudisha mtihani huo ni jambo la busara. Hi itawafanya wanafunzi kuwa makini na kuzingatia masomo.
Kwa hali ilivyo sasa, wanafunzi wengi huanza kuzingatia masomo pindi wakifika kidato cha IV na ndipo hujikuta wamechelewa.
Kwa Mtihani hu wa Kidato cha II, Serikali imewapa changamoto wanafunzi kwamba sasa hakuna kulala.

TAHADHARI:
Serikali isimamie Mitihani ipime KWELI uelewa wa wanafunzi na si kukariri. Wala lengo lisiwe "mradi liende" kutimiza malengo ya kisiasa.

Siasa ya Tanzania inadumaza Elimu.
 
Jamani kwani huu mtihani ulifutwa lini wakuu?Mtoa mada vipi unamanisha haukuwepo au vipi?tupe habari kamili..mkuu kwani mimi ninajua mtihani haujawai kufutwa..may be unaongelea pass mark
 
Jamani kwani huu mtihani ulifutwa lini wakuu?Mtoa mada vipi unamanisha haukuwepo au vipi?tupe habari kamili..mkuu kwani mimi ninajua mtihani haujawai kufutwa..may be unaongelea pass mark

Hivi we unaishi pango gani?, ulifutwa zamani na mkulu akakazia katika hotuba ya mwisho wa mwezi fulani!
 
Aanze yeye kufanya kwanza ndio aurudishe kwa wenzio yeye si alikimbia na wa darasa la nne
 
Mkuu Tutafika unacho kisema siyo kweli kabisa kwanza tuombe samahani kwa kutuongopea
Hapo tz mtihani wa senior two haukufutwa hila ni kwamba issue ya pass mark ndo iliyo ondolewa kwamba mwanafunzi ata akipata avarage ya 0 anarusiwa kwenda senior three then kilichofanwa ingiwa haijawa official ni kwamba avarage itarudishwa kuanzia 25-30 ili mtu hawezi kuingia senior three na haijurikani inaanza lini.Mtihani wa senior two haujawai kufutwa HAPO TANZANIA
 
Jamani mtihani haukufutwa, muwe mnafuatilia mambo ila ilikuwa hata ukifail waendelea
 
jamani nadhani suala linajulikana,mtihani ulikuwepo bt haukuwa na effect!..ninachojiuliza! kwani wakati wanabadili mwanza hizi sababu wanazotoa sasa haukuziona kweli?...but sishangai ni moja ya episod ya ile movie yetu ndefu sana ya 'bongo polititics'
 
Back
Top Bottom