ERIC JOSEPH
JF-Expert Member
- Aug 10, 2011
- 567
- 55
Wazili wa elimu ametanza kuuludisha tena mtihani wa kidato cha pili kama kipimo cha wanafunzi.
Wazili wa elimu ametanza kuuludisha tena mtihani wa kidato cha pili kama kipimo cha wanafunzi.
mweeeeeeeeeeee! jamani mbona ndugu yangu ntamsomesha miaka mitano! maana ni kilaza kweli, mwe mwe mwe mweeeeeeeeeeeee!
wewe kiswahili ungepata F kuanzia imla mpaka mwandiko.Wazili ametanza kuuludisha
Jamani kwani huu mtihani ulifutwa lini wakuu?Mtoa mada vipi unamanisha haukuwepo au vipi?tupe habari kamili..mkuu kwani mimi ninajua mtihani haujawai kufutwa..may be unaongelea pass mark
Aanze yeye kufanya kwanza ndio aurudishe kwa wenzio yeye si alikimbia na wa darasa la nne
mgoshi huna r?Wazili wa elimu ametanza kuuludisha tena mtihani wa kidato cha pili kama kipimo cha wanafunzi.
serkali isio na msimamo wala constructive plan
Wazili wa elimu ametanza kuuludisha tena mtihani wa kidato cha pili kama kipimo cha wanafunzi.