Mtihani wa kidato cha nne english language new format 2019

GANG MO

JF-Expert Member
Dec 6, 2016
2,087
2,193
Habari ya majukumu dada na kaka zangu. Samahani Naombeni mwenye mtihani wa English language form four uliotungwa kwa kuzingatia format mpya (2019) anisaidie. Natanguliza shukran
 
Atakuwa anafahamu maana ya website?
kwa mfano mkamjibu tuu anaipateje au kumsaidia na kumpa anachotaka mnapungua nini? tatizo wana Jf WENGI HUJIONA WASOMI NA WAKUBWA. je kama yeye ni mwalimu au mtu mzima anae rudia mtiani wa kidato cha nne? hili ni jukwaa la ELIMU anauhuru wa kuuliza. kuna huyu kajiona anajua anasema nenda necta, mambo mengine bora upite kimya tuu, kwahiyo necta ndo wametoa format?
 
Ubarikiwe ndugu

Kweli kabsa yani wengi wanajiona wajuaji snaa unaweza ulza kitu ukajibiwa ovyo.... Watu atufanani uelewa.... Kwa unachokijua jarbu kumwelezea na mwngne
 
Ya KISWAHILI ushapata? Km bado nikutumie

Back
Top Bottom