Sasa hapo ndio ujue kwanini kuna thread za ajabu ajabu humu!Hadi nyie duuu jamii forum anzisheni jukwaa la machalii
Atakuwa anafahamu maana ya website?Ka download hiyo format kwenye website ya necta. Kule wameeleza kila kitu vizur
kwa mfano mkamjibu tuu anaipateje au kumsaidia na kumpa anachotaka mnapungua nini? tatizo wana Jf WENGI HUJIONA WASOMI NA WAKUBWA. je kama yeye ni mwalimu au mtu mzima anae rudia mtiani wa kidato cha nne? hili ni jukwaa la ELIMU anauhuru wa kuuliza. kuna huyu kajiona anajua anasema nenda necta, mambo mengine bora upite kimya tuu, kwahiyo necta ndo wametoa format?Atakuwa anafahamu maana ya website?
kwa mfano mkamjibu tuu anaipateje au kumsaidia na kumpa anachotaka mnapungua nini? tatizo wana Jf WENGI HUJIONA WASOMI NA WAKUBWA. je kama yeye ni mwalimu au mtu mzima anae rudia mtiani wa kidato cha nne? hili ni jukwaa la ELIMU anauhuru wa kuuliza. kuna huyu kajiona anajua anasema nenda necta, mambo mengine bora upite kimya tuu, kwahiyo necta ndo wametoa format?
Kweli kabsa yani wengi wanajiona wajuaji snaa unaweza ulza kitu ukajibiwa ovyo.... Watu atufanani uelewa.... Kwa unachokijua jarbu kumwelezea na mwngnekwa mfano mkamjibu tuu anaipateje au kumsaidia na kumpa anachotaka mnapungua nini? tatizo wana Jf WENGI HUJIONA WASOMI NA WAKUBWA. je kama yeye ni mwalimu au mtu mzima anae rudia mtiani wa kidato cha nne? hili ni jukwaa la ELIMU anauhuru wa kuuliza. kuna huyu kajiona anajua anasema nenda necta, mambo mengine bora upite kimya tuu, kwahiyo necta ndo wametoa format?
Hiyo hapo View attachment Civics form 4 2019.pdfView attachment HISTORY new format..(1).pdfMsaada pia kwa yeyote mwenye pepa ya civics na history new format anisaidie tafadhali
Habari ya majukumu dada na kaka zangu. Samahani Naombeni mwenye mtihani wa English language form four uliotungwa kwa kuzingatia format mpya (2019) anisaidie. Natanguliza shukran
Mkuu nitumie yote uliyonayo nahitaji hiyo mitihanYa KISWAHILI ushapata? Km bado nikutumie
Nitumie ya kiswahili mkuu nitashukuruYa KISWAHILI ushapata? Km bado nikutumie
Nitumie ya kiswahili mkuu nitashukuru
mweny kiswahili