Mtihani wa Hesabu marudio nao ulivuja!!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mtihani wa Hesabu marudio nao ulivuja!!!!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Halisi, Oct 31, 2008.

 1. Halisi

  Halisi JF-Expert Member

  #1
  Oct 31, 2008
  Joined: Jan 16, 2007
  Messages: 2,810
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  BAADA ya kurudiwa kwa mtihani wa Hisabati wa kidato cha nne, mtihani huo ulivuja tena na ushahidi wake ni kwamba wanafunzi wawili wa kidato cha nne wanashikiliwa polisi mkoani Dar es Salaam kwa kukutwa na majibu ya mtihani huo ndanin chumba cha mtihani.

  Waliokamatwa na polisi ni Hidaya Issa (19), aliekuwa na namba S.844/078 na Salima Ally(18) aliyekuwa na namba S.884/079 wakiwa ni wanafunzi wa shule ya sekondari ya seminari ya Thagalaini iliyopo Mbagala Chalambe,Dar es Salaam.

  Walikamatwa Octoba 27, 2008 saa 4:20 asubuhi siku ambayo mtihani huo wa hesabu ulifanyika na walikamatwa na msimamizi wa kituo hicho Leila Hamadi(50) wakiwa na majibu ya mtihani huo.
   
 2. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #2
  Oct 31, 2008
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,012
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Hata seminari nao wanaiba mitihani?
   
Loading...