Night Watch
JF-Expert Member
- Apr 4, 2017
- 2,006
- 1,955
ShukraniPamoja na kuwa ww mtoto unaweza kuwa na akili kuliko Magonjwa mtambuka
ShukraniPamoja na kuwa ww mtoto unaweza kuwa na akili kuliko Magonjwa mtambuka
Asante kwa kutoa maelezo mazuri naona wamebadili mfumo kidogo ukilinganisha wakati wetu sisi,mana nakumbuka mtihani mzima tulitumia penseli kushade kulikuwa hakuna sehemu ya kutumia peni.Pen wanatumia swali kuanzia 41 - 45 tu mengine 1-40 ni pencil lkn huyo kuambiwa hivyo so tatizo shule nyingi siku hizo zina kila kitu pencil HD na pen za kawaida wanapatiwa shuleni
Kumbe tunachati na watoto wetu humu ndani!Huo ni mfumo wa OMR na ulianza kutumika mwaka 2012,na penseli ya HD inatumika kushedi sehemu ya jibu sahihi,na siwezi kuficha mwaka 2012 nilimaliza darasa la saba sisi tulikua wa kwanza kutumia mfumo huo,kwa hiyo sio jambo geni kwa sasa.
Id yako inaendana na wa mwaka 2012Huo ni mfumo wa OMR na ulianza kutumika mwaka 2012,na penseli ya HD inatumika kushedi sehemu ya jibu sahihi,na siwezi kuficha mwaka 2012 nilimaliza darasa la saba sisi tulikua wa kwanza kutumia mfumo huo,kwa hiyo sio jambo geni kwa sasa.
Kabsa bila kumsahau Chakubanga, cocochanel, popoma, Faiza foxy, johnthebaptist, thetallest, na matahira wengine hukoPamoja na kuwa ww mtoto unaweza kuwa na akili kuliko Magonjwa mtambuka
Shikamoo.Id yako inaendana na wa mwaka 2012
Niamkie....!!
Sahvi unasubiri chuo au ndio umemaliza field yakoHuo ni mfumo wa OMR na ulianza kutumika mwaka 2012,na penseli ya HD inatumika kushedi sehemu ya jibu sahihi,na siwezi kuficha mwaka 2012 nilimaliza darasa la saba sisi tulikua wa kwanza kutumia mfumo huo,kwa hiyo sio jambo geni kwa sasa.
Naingia chuo mwaka wa kwanza mwezi wa kumi Mungu akijalia uzima.Sahvi unasubiri chuo au ndio umemaliza field yako
Usijiunge na Timu zifuatazo humu ndani mpaka upevukeKawaida babu na sisi tumekuja humu tupate maarifa toka kwenu.
Hata mimi namshangaaWewe mtoto unafanya nini humu
Una hekima sana kijana.. Maana watu wanakutania wala hauoneshi kukwazika na zihaka zao.Shikamoo.
Aisee pole. Ungemwuliza hata mwalimu wake kwanza badala ya kuja mbio huku. Uko kama zero brain.Wana jamii .
Naomba kuuliza .
Mtoto wangu anayefanya mtihani Leo Wa darasa la saba .
Wameambiwa katika.mtihani asije na pen .mtihani itafanywa na pencil .
Je hii nisheria ya wizara?
Kufanya mtihani kwa kalamu yenye kufutika kuna hatari hata ya kuweza kufuta jina au namba yako ya mtihani na itawekwa ya mwanafunzi mengine.
Au nisheria ya shule?
View attachment 1204148
Kuanzia 2018, kuna maswali matano ya kujaza (hakuna chaguzi) kwenye kila somo. Hapo hutumia peni.Kwahiyo hawatumii peni hata kidogo?
Wajukuu wako weng Sana humu mkuu ila Sasa wanajifanya nao wahengaAisee humu kumbe tupo na wajukuu zetu
Great kijana 💪💪💪💪Naingia chuo mwaka wa kwanza mwezi wa kumi Mungu akijalia uzima.
Muda mrefu Sasa wanatumia penseliMie ndio nalisikia hilo ngoja wajuzi wa mambo waje kutujuza mkuu. Tupo na watu wa wizarani humu vuta subrah tu.
Aisee, we mjukuu unafanya nini humu? Shule hujaenda?Huo ni mfumo wa OMR na ulianza kutumika mwaka 2012,na penseli ya HD inatumika kushedi sehemu ya jibu sahihi,na siwezi kuficha mwaka 2012 nilimaliza darasa la saba sisi tulikua wa kwanza kutumia mfumo huo,kwa hiyo sio jambo geni kwa sasa.