Mtihani Wa darasa la Saba

Pen wanatumia swali kuanzia 41 - 45 tu mengine 1-40 ni pencil lkn huyo kuambiwa hivyo so tatizo shule nyingi siku hizo zina kila kitu pencil HD na pen za kawaida wanapatiwa shuleni
Asante kwa kutoa maelezo mazuri naona wamebadili mfumo kidogo ukilinganisha wakati wetu sisi,mana nakumbuka mtihani mzima tulitumia penseli kushade kulikuwa hakuna sehemu ya kutumia peni.
 
Huo ni mfumo wa OMR na ulianza kutumika mwaka 2012,na penseli ya HD inatumika kushedi sehemu ya jibu sahihi,na siwezi kuficha mwaka 2012 nilimaliza darasa la saba sisi tulikua wa kwanza kutumia mfumo huo,kwa hiyo sio jambo geni kwa sasa.
Kumbe tunachati na watoto wetu humu ndani!
 
Huo ni mfumo wa OMR na ulianza kutumika mwaka 2012,na penseli ya HD inatumika kushedi sehemu ya jibu sahihi,na siwezi kuficha mwaka 2012 nilimaliza darasa la saba sisi tulikua wa kwanza kutumia mfumo huo,kwa hiyo sio jambo geni kwa sasa.
Id yako inaendana na wa mwaka 2012
Niamkie....!!
 
Huo ni mfumo wa OMR na ulianza kutumika mwaka 2012,na penseli ya HD inatumika kushedi sehemu ya jibu sahihi,na siwezi kuficha mwaka 2012 nilimaliza darasa la saba sisi tulikua wa kwanza kutumia mfumo huo,kwa hiyo sio jambo geni kwa sasa.
Sahvi unasubiri chuo au ndio umemaliza field yako
 
Kawaida babu na sisi tumekuja humu tupate maarifa toka kwenu.
Usijiunge na Timu zifuatazo humu ndani mpaka upevuke
1. Team ufipa... Genge la wahuni na waporaji. Jiepushe nao ukiwakuta kaa nao mbali
2. Mabaharia..... Watakupotosha.
3. Kamwe usipoteze muda wako kuingia jukwaa la wakubwa
 
Wana jamii .
Naomba kuuliza .
Mtoto wangu anayefanya mtihani Leo Wa darasa la saba .
Wameambiwa katika.mtihani asije na pen .mtihani itafanywa na pencil .
Je hii nisheria ya wizara?
Kufanya mtihani kwa kalamu yenye kufutika kuna hatari hata ya kuweza kufuta jina au namba yako ya mtihani na itawekwa ya mwanafunzi mengine.
Au nisheria ya shule?
View attachment 1204148
Aisee pole. Ungemwuliza hata mwalimu wake kwanza badala ya kuja mbio huku. Uko kama zero brain.
 
Kwani mkuu huna mawasiliano na walimu wa mwanao ukawasiliana nao wakakupa ufafanuzi?
Au siku hizi kila jambo majibu yake yapo JF?
 
Huo ni mfumo wa OMR na ulianza kutumika mwaka 2012,na penseli ya HD inatumika kushedi sehemu ya jibu sahihi,na siwezi kuficha mwaka 2012 nilimaliza darasa la saba sisi tulikua wa kwanza kutumia mfumo huo,kwa hiyo sio jambo geni kwa sasa.
Aisee, we mjukuu unafanya nini humu? Shule hujaenda?
 
Back
Top Bottom