Mtihani: Sina kazi ila nimepata fursa ya kutengeneza filamu za ngono nje ya nchi

Chuda Kashara

JF-Expert Member
Sep 5, 2016
849
548
Wasalam wana wa jukwaa.

Ndugu zangu yapata siku kadhaa sasa nawaya waya nisijue la kufanya. Kwa muda mrefu nimeishi bila kazi ya maana zaidi ya kubeba zege kwenye makampuni ya ujenzi ya kichina yenye manyanyaso lukuki.

Elimu yangu ni kidato cha sita, sikuweza kuendelea zaidi kwa sababu za kiuchumi. Sasa katika kuperuzi peruzi kwenye mitandao nimekutana na site nyingi zinazojihusisha na utengenezaji wa hizi filamu za kikubwa(XXX VIDEOS) zikihitaji wahusika (male perfomers) wa kushiriki katika utengenezaji wa hizo filamu.

Basi nikaona kama ni moja ya njia ya kutokea, nikajaza viambata vilivyokuwepo kwenye sites zao halafu nikatuma, nimetuma kwenye makampuni nane.Kampuni tatu zimenikubali, moja wamenikataa sababu ya umri kuwa chini ya miaka 30, na mengine hayajajibu.

Kuna kampuni walionikubali moja kwa moja na tuliwasiliana kwa njia kadhaa zikiwemo za e-mail na WhatsApp, wapo kwenye nchi yenye ubalozi wao hapa TZ, waliniambia nikiwa tayari niende kwenye ubalozi wao ili kushuulikia taratibu zote za usafiri na gharama zote ni juu yao.Nilipofika ubalozini nilikuta kweli hao jamaa wapo serious kwa sababu taarifa zangu zilikuwepo kwenye ofisi za balozi. Vipimo vya afya, majaribio, malipo na mkataba ndizo hatua zinazofuata.

Wadau wa MMU, kiukweli nakuwa na kusitasita juu ya kubong'oa wanawake mbele ya kamera na madirector kibao lakini nikipiga picha haya maisha magumu ninayopitia naona kama hii ni last chance adimu ya kutokea.

Naombeni muwe watulivu na kunipa michango yenu ya kimawazo juu ya hili jambo nami nijue pakuchagua.


UPDATES:

Wakuu wa MMU nawashukuru sana kwa michango yenu ya kimawazo. Nimefarijika sana kupokea maoni na mitazamo ya wengi juu ya njia niliyoichagua. Kila mmoja wenu alichangia kwa mitazamo tofauti tofauti. Binafsi nimefanya maamuzi ya kwenda kuipiga hii kazi, najua ina changamoto nyingi lakini ikumbukwe kuwa kila kazi ina ugumu wake. Tumeshakamilisha taratibu zote na natarajia kuondoka mwishoni mwa juma. Bado nitakuwa sehemu ya Jamiiforums, nitawasiliana na nyi.

Nawashukuru sana! Pia asanteni nyote.
 
Nenda tu.. Mbona kuna demu ni Mtanzania anacheza hizo picha ila Watanzania wengi tu hawamjui..

Na ni maarufu tu ashashindaga awards kama mbili za best performer..
Umesema kweli Mkuu, kuna watu wa nchi jirani(waswahili) niliwahi kuwaona wakishuhudia kufanya hiyo kazi lakini watanzania sijawahi kuwasikia.
 
Hii zaidi ya balaa na wewe moyo wako unataka nini kifupi mimi sikushauri uende,una mama ako na baba na una ndugu zako pia fikiria wakijua kinachokupeleka huko unadhani wataishi kwa furaha kweli ,nakuombea kwa mungu upate kazi tofauti na hiyo .
Asante mpendwa kwa ushauri, lakini kama mawazo yako yangekuwa kweli, nisingekuwa nahangaika hivi.
 
Back
Top Bottom