Mtihani kidato cha sita ni maafa makubwa zaidi ya mafuriko ya kigogo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mtihani kidato cha sita ni maafa makubwa zaidi ya mafuriko ya kigogo

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by maliki marupu, Dec 24, 2011.

 1. m

  maliki marupu Member

  #1
  Dec 24, 2011
  Joined: Nov 5, 2011
  Messages: 8
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ni matumaini yangu kuwa watanzania wote tupo katika maombolezi ya maafa ya watanzania wenzetu waliopata mafuriko kutokana na mvua zinazoendelea kunywsha.mungu ibariki tanzania mungu ibarikiafrc.ni siku chache zimesalia vijana wa kidato cha 6 wafanye mtihani wao wa kidato cha sita.hofu yangu kubwa ni kuwa na matumaini ya wanafunzi kufanya vibaya sana ktk masomo hii ni kutokana na baraza kutokuainisha topics mahususi zitakazotumika ktk mitihani.hii ni kutokana na mabadiliko ya syrabus ya masomo ya kidato cha sita.halii hii inawafanya wanafunzi kutokujua ni topics zipi wanapaswa wasome.haya ni maafa makubwa ya kitaaluma zaidi ya maafa ya kigogo by 0712099058
   
 2. Thomas Odera

  Thomas Odera Verified User

  #2
  Dec 24, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 644
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Mkuu hapo sijaelewa maana mtihani unatungwa kutokana na zile topic ambazo ziko kwenye syllabus, labda uniambie kuwa syllabus ilibadilishwa hapa mwishoni wakati wao walitumia ya zamani kufundishwa
   
 3. Thomas Odera

  Thomas Odera Verified User

  #3
  Dec 24, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 644
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Mkuu hapo sijaelewa maana mtihani unatungwa kutokana na zile topic ambazo ziko kwenye syllabus, labda uniambie kuwa syllabus ilibadilishwa hapa mwishoni wakati wao walitumia ya zamani kufundishwa
   
 4. Obe

  Obe JF-Expert Member

  #4
  Dec 24, 2011
  Joined: Dec 31, 2007
  Messages: 5,978
  Likes Received: 20,359
  Trophy Points: 280
  Tulia, andika ukiwa umetulia, ulivyoandika ni kama unaogopa kukutwa unaibia. Narudi kwenye hoja, ninajua kuna mabadiliko makubwa katika mitalaa ya A-level, hasa kwa wanaochukua masomo ya Arts, yote kwa yote, kwani wakuu wa shule hawajataarifiwa kuhusu mtalaa utakaotumiwa ktunga mitihani?
   
 5. Kijuche

  Kijuche JF-Expert Member

  #5
  Dec 25, 2011
  Joined: Aug 26, 2010
  Messages: 419
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Nadhani kila mabadiliko ya mitaala yanapotokea lazima taasisi na wadau mbalimbali wa elimu hujuzwa mapema. Sidhani kama baraza la mitihani wanaweza kukurupuka na kutunga mitihani kwa topics ambazo hazijaelekezwa zifundishwe kwa wanafunzi husika kutoka kwenye mitaala. Usiwatie hofu watahiniwa watarajiwa.
   
 6. analysti

  analysti JF-Expert Member

  #6
  Dec 25, 2011
  Joined: Aug 24, 2009
  Messages: 704
  Likes Received: 354
  Trophy Points: 80
  Kama wewe ni mwanafunzi unaetarajia kufanya huo mtihani pia, ninakuhakikishia kuwa ni lazima ufeli, usipofeli basi kutakuwa na tatizo kubwa ktk kutahini wanafunzi, kwa kuwa uwezo wako duni unajidhihirisha ktk hicho ulicho kiandika. Kama wewe ni mwalimu wa hao wanafunzi, basi ninawaonea huruma hao wanafunzi wako.
   
 7. TASLIMU

  TASLIMU Senior Member

  #7
  Dec 26, 2011
  Joined: May 6, 2011
  Messages: 144
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Je ww huko wapi,shulen kwenu hakuna format ya mtihan,mbona baraza imesambaza shule zote tokea mwez wa sita 2011,sema zimechelewa tu,ila topic zmeonyeshwa
   
Loading...