Mtihani huu wa kimapenzi umenishinda kuujibu nawaomba wabobezi wa Mapenzi mnisaidie kuujibu ili 'niufaulu' vyema sana

Mimi nimeoa. Nilipo andika hujaolewa nilikusudia kweli hujaolewa sababu wenzako walio olewa hawawezi kuandika ulicho kiandika.
Hongera na wewe kwa kuolewa, haya toa ushauri kwa mwanandoa mwenzio
 
Fanya juu chini na we we umgonge mkewe Wa ngoma iwe drop hii itasawazisha maumivu kk,,dawa ya moto ni moto wenyewe
 
Una Rafiki yako wa karibu tu na anajua kuwa una Mke na pia Mkeo naye anajua kabisa kuwa huyo Jamaa ni Rafiki yako mkubwa tu, ila ikatokea Rafiki yako wa Karibu 'akakutongozea' Mkeo na Mkeo naye pia 'akamkubalia' na 'wakafanyana' kwa raha zao. Je, ikitokea ukaja 'Kugundua' tukio hilo la 'Kuumiza' na 'Kusikitisha' kabisa Wewe hapo ni nani 'utamlaumu' mno kuliko Mwingine?

Nilikuwa ni 'Muumini' mkubwa sana tu wa 'Kulaumu' wale 'Wanaowadhuru' vibaya (Kikatili) Wake zao pale 'wakiwafumania' ila sasa nimewaelewa.
Umekosea sana kuendekeza urafiki mpaka ndani ya familia, marafiki kua nao hukoo mbali wala wasiizoee familia yako

Pili, mkeo hana adabu wala hajiheshimu, mpaka amefikia kutembea na rafiki yako basi huyo hafai kuitwa mke amekukosea heshima sana na amekudharau mbele ya huyo rafiki yako

Haya mambo huwa hayahitaji ushauri, ni utashi wako wewe na vile moyo wako unavyojisikia, pengine bado unamhitaji mkeo, tafuta namna ya kuzungumza nae ujue tatizo liko wapi usamehe maisha yasonge though wanaume kamwe hawawezi kusamehe usaliti
Na hata kama ukiamua kuendelea na mkeo, naamini heshima na thamani uliyokua unampa mwanzo haiwezi kuwepo, upendo ule wa mwanzo pia haupo, hanisi itakua mnaishi tu ilimradi

Unahitaji utulivu sana kuamua hili jambo na usiongozwe na hisia
 
Hongera na wewe kwa kuolewa, haya toa ushauri kwa mwanandoa mwenzio
Siku nyingine usiwe unachangia mambo ya ndoa ikiwa hujaolewa bibie, tuachie sisi tulio oa tuchangie. Siku ukiolewa utajua kwanini wenzako walio olewa hawawezi kuandika hayo uliyo yaandika.

Ushauri wangu nilishautoa huko mwanzo bibie.
 
Kitendo cha kuumia ni dalili kubwa ya UCHOYO NA UBINAFSI nasema hivi ni kwa sababu we jiulize mkeo kampa mtu mwingine tena katumia uchi wake wewe inakuuma kwa sababu gani labda angekuwa anabeba nyeti zako na kwenda nazo kwenye usaliti.BINADAMU HATUPENDI KU SHARE VITAMU NA WENZETU HASWA SISI WEUSI.
 
Mi huwa nashaur watu wa hivyo kuna mawili wape ulemavu la ulishindwa Fanya kitu kitakacho waua ndani ya muda kiasi

Hata kama ni sista angu maliza tu Shem sina noma kabisa na hata siraha ntakuazima
 
Siku nyingine usiwe unachangia mambo ya ndoa ikiwa hujaolewa bibie, tuachie sisi tulio oa tuchangie. Siku ukiolewa utajua kwanini wenzako walio olewa hawawezi kuandika hayo uliyo yaandika.

Ushauri wangu nilishautoa huko mwanzo bibie.
Dada angu una gubu sana i can't imagine huyo kaka anaishije na wewe ndani, unastahili ufundwe upyaaa

Btw, hongera kwa kua mke muaminifu, gubu unalo ila huchepuki.
 
Una Rafiki yako wa karibu tu na anajua kuwa una Mke na pia Mkeo naye anajua kabisa kuwa huyo Jamaa ni Rafiki yako mkubwa tu, ila ikatokea Rafiki yako wa Karibu 'akakutongozea' Mkeo na Mkeo naye pia 'akamkubalia' na 'wakafanyana' kwa raha zao. Je, ikitokea ukaja 'Kugundua' tukio hilo la 'Kuumiza' na 'Kusikitisha' kabisa Wewe hapo ni nani 'utamlaumu' mno kuliko Mwingine?

Nilikuwa ni 'Muumini' mkubwa sana tu wa 'Kulaumu' wale 'Wanaowadhuru' vibaya (Kikatili) Wake zao pale 'wakiwafumania' ila sasa nimewaelewa.

Ndege wafananao uruka pamoja, inaonekana hata wewe ni tabia yako ya kitembea na wake za watu., Kifupi wewe na huyo rafiki yako tabia zenu zinafanana tuu, Maana mtu anayejielewa awezi kuwa na marafiki wa kishenzi shenzi namna hiyo. Jiangalie wewe uende ukakuta ndio tatizo kuu Kiongozi..
 
Dada angu una gubu sana i can't imagine huyo kaka anaishije na wewe ndani, unastahili ufundwe upyaaa

Btw, hongera kwa kua mke muaminifu, gubu unalo ila huchepuki.
Unapenda kujifurahisha sana mrembo. Ni ujinga ulioje kumuita mwanaume mwanamke, huku ukirudia rudia jambo ambalo halipo.

Karibu PM nikuonyeshe kitu. Wanaume hatubishani na watoto wa kike na ukitaka kupandwa na mimi nakupanda tu. Karibu sana mrembo.
 
Una Rafiki yako wa karibu tu na anajua kuwa una Mke na pia Mkeo naye anajua kabisa kuwa huyo Jamaa ni Rafiki yako mkubwa tu, ila ikatokea Rafiki yako wa Karibu 'akakutongozea' Mkeo na Mkeo naye pia 'akamkubalia' na 'wakafanyana' kwa raha zao. Je, ikitokea ukaja 'Kugundua' tukio hilo la 'Kuumiza' na 'Kusikitisha' kabisa Wewe hapo ni nani 'utamlaumu' mno kuliko Mwingine?

Nilikuwa ni 'Muumini' mkubwa sana tu wa 'Kulaumu' wale 'Wanaowadhuru' vibaya (Kikatili) Wake zao pale 'wakiwafumania' ila sasa nimewaelewa.
Mkui kama ni kweliii sio story basii fanya juu chinii umle mke wake na yeye hakikisha una ushahidii wa kutoshaa...

Na kama mke wake ni mzurii kuliko wakoo hakikisha unaendeleza mahusiano na mkee wake ila kama ni wa kawaida kula kisha pita hivii.....

Ila kama huwezi piga chiniii hiyoo malaya maana wana mtindo wa kuto kupenda tena. Na watakiwa wanakuongelea sana wakiwa wawiliii....

Mimi ilinitokea nilikuja kugundua jamaa yanguu ni snitch.
 
Unapenda kujifurahisha sana mrembo. Ni ujinga ulioje kumuita mwanaume mwanamke, huku ukirudia rudia jambo ambalo halipo.

Karibu PM nikuonyeshe kitu. Wanaume hatubishani na watoto wa kike na ukitaka kupandwa na mimi nakupanda tu. Karibu sana mrembo.
Ndio inavyokua mkiolewa bila matarajio mnakua mnatamani dunia nzima ijue umeolewa, hata mtu akicheka utasikia "hatucheki hivyo wanandoa, mwanandoa tuna cheko letu" lol

Haya mama, msubiri mumeo akupande uzae chap sio kushinda mitandaoni na kujitangaza umeolewa kwa kila mtu.
 
Sawa. Nimefurahi kwa kuelewa nilicho kiandika.
 
Una Rafiki yako wa karibu tu na anajua kuwa una Mke na pia Mkeo naye anajua kabisa kuwa huyo Jamaa ni Rafiki yako mkubwa tu, ila ikatokea Rafiki yako wa Karibu 'akakutongozea' Mkeo na Mkeo naye pia 'akamkubalia' na 'wakafanyana' kwa raha zao. Je, ikitokea ukaja 'Kugundua' tukio hilo la 'Kuumiza' na 'Kusikitisha' kabisa Wewe hapo ni nani 'utamlaumu' mno kuliko Mwingine?

Nilikuwa ni 'Muumini' mkubwa sana tu wa 'Kulaumu' wale 'Wanaowadhuru' vibaya (Kikatili) Wake zao pale 'wakiwafumania' ila sasa nimewaelewa.
Na wewe unamgongea mkewe, ngoma drow
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom