Mtihani Darasa la Saba

Rejao

JF-Expert Member
May 4, 2010
9,220
4,056
Nawatakia Mtihani mwema..
Nakumbuka miaka hiyo furaha niliyokuwa naiwazia baada ya kumaliza shule ya msingi.
Wishing You All The Best!
 
msikubali kuvalishwa majoho ya vyuo vikuu ..hii ni serikali ya ccm kila kitu shaghala baghala hadi mambo yakifika kwenye critical conditions ndio wanapanua midomo yao
 
msikubali kuvalishwa majoho ya vyuo vikuu ..hii ni serikali ya ccm kila kitu shaghala baghala hadi mambo yakifika kwenye critical conditions ndio wanapanua midomo yao
Saint,,
Mambo ya CCM hapa yanaingiaje?
Tusianze kuwachafua wanetu kwa siasa..
 
Binafsi nilifurahi sana kumaliza la 7 maana nilianza kuona kumbe ninakua.
Nawatakia kila la kheri watainiwa wote.
 
Saint,,<br />
Mambo ya CCM hapa yanaingiaje?<br />
Tusianze kuwachafua wanetu kwa siasa..
mkuu REJAO kila tatizo hapa nchini huwezi kulitenganisha na sera za ccm...swallow this my friend....
Ok let wish them all the best ..lakini wakishaingia secondari hasa boarding wataanza kuonja machungu ya Nape i mean ccm
 
Nawaonea sana huruma mnaoichukia CCM!
Mtakuwa mnaumia sana mioyoni mwenu!
 
Kila la kheri wadogo zangu nyie ndiyo taifa la kesho ambapo kwenu hatma ya nchi hii itakuwa kwenu muda si mrefu.
 
Basi serikali iwe inatoa primary certificate ili kuwe kuna mzuka katika mitihani hii jamani.
 
Walau hapo watapimwa kwa yale waliyosoma kwa miaka yote Saba. Kivumbi huko SK (Sekondari za Kata) watakumbana na maswali hata ya masomo ambayo hawajayasoma ktk miaka yote minne! Janga hili jama... Duh! Mfano Sekondari ya Kata ya Nanjota wilaya ya Masasi ina waalimu wawili tu! Kwa mujibu wa dogo mmoja jirani yangu ambaye yupo form 3 mwaka huu. Anasema masomo kama Baolojia, Kemia, Fizikia anayajua kwa kuyatamka majina tu! Kaaazi kwekweli.
 
All da best std 7,miaka hyo m nlnunua soksi mpya na rula pamoja na shati,duh,kazeni madogo mungu yuko upande wenu,msome mje ku2saidia kufukuza magamba yote bongo.
 
Hii topic hapa si mahala pake. Humu kuna mtoto wa primary anaingia?. Au hzo comment zenu nani atazisoma.
 
Back
Top Bottom