faru john junior
JF-Expert Member
- Dec 26, 2016
- 1,596
- 1,717
Tangu nimehitimu darasa la saba miaka kadhaa iliyopta mpka leo hii sijawahi kusikia hii mitihani ikifanyika siku tofauti na JUMATANO japo tarehe ni tofauti lakini ni cku ya j5 tu ingawa miaka ya hivi karibu hii mitihani inafanyika kwa mda wa cku 2 tofauti na miaka ya nyuma. Mwenye kuelewa Luna nini hasa kwenye hii siku ya J5?
Nikirudi nikute majbu
Sent using Jamii Forums mobile app
Nikirudi nikute majbu
Sent using Jamii Forums mobile app