Mtihani: CAG mstaafu azitaka kamati za bunge PAC na LAAC zitembelee taasisi zenye hati chafu badala ya kukimbilia kwenye hati Safi!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,915
141,870
CAG mstaafu mh Uttoh amezitaka kamati za bunge za PAC na LAAC kuwa strategic zinapoenda kukagua taasisi za serikali badala ya kujiendea tu kimazoea.

Uttoh amesema ni vema bunge likatembelea taasisi zenye hati chafu na zile ambazo CAG ameshindwa kutoa hati ( disclaimer) au zile ambazo CAG hakuzikagua kabisa.
Utaratibu wa kukimbilia taasisi zenye hati safi hauna tija kabisa, amesisitiza CAG mstaafu

Source: ITV

My take; PAC ianze na TTCL, NHIF, Muhimbili nk nk mkakague hesabu!

Ramadhan Kareem.
 
Mnyonge ambaye ubongo wangu ni spesho kwa kuhifadhi video za connection hapa sijaelewa
 
CAG mstaafu mh Uttoh amezitaka kamati za bunge za PAC na LAAC kuwa strategic zinapoenda kukagua taasisi za serikali badala ya kujiendea tu kimazoea.

Uttoh amesema ni vema bunge likatembelea taasisi zenye hati chafu na zile ambazo CAG ameshindwa kutoa hati ( disclaimer) au zile ambazo CAG hakuzikagua kabisa.
Utaratibu wa kukimbilia taasisi zenye hati safi hauna tija kabisa, amesisitiza CAG mstaafu

Source: ITV

My take; PAC ianze na TTCL, NHIF, Muhimbili nk nk mkakague hesabu!

Ramadhan Kareem.
Swali ni je na yeye alishawahi kufanya hivyo
Au anakua anasakazia tu sasa hv kwakua yeye hayuko uko tena
Viongozi wakishatoka madarakani vichwa ndo viaanza kufanya kazi sawasawa
 
CCM wanatumia mfumo unaitwa Unyumbu (herding behaviour) mfumo ambao tunaodhani wanauwezo mzuri huko gorofani ,huacha kutumia akili zao kwa muda wanapokuwa kwenye madaraka 'an occurrence of thoughtful people suspending their individual reasoning because of fear, in this case fearing Self-Absorbed group or their leaders
 
Back
Top Bottom